Mwenye hii BAJAJI nitafutieni niipige full tank kisha aniambie malengo ya week kwa boss ngapi nayo nilipie.
Hiki alichofanya ninzaidi ya ushujaa. Pesa yangu ya ushindi wa treni la odds 83 zinanze kwenda kwa wanangu sasa.
NITAFUTIENI HUYU SHUJAA.
REPOST 200
Mchakato wa kupata katuni...
Wazo linatoka wapi? Halafu...? Enhee..
Ikifika saa moja usiku leo na kila ijumaa, usikose kutazama episode 4 ya kalamu ndani ya chaneli ya Kipanya Tell a Vision kule yuchubu..
Pliz usisahau kukumbuka kulaiki na kusabskraib.
Mashujaa wetu wametoka na TABASAMU usoni mwao atleast kama taifa tumepata FARAJA kuwaona tena wakijumuika na sisi baada ya kipindi kigumu kupita maishani mwao.
Haya ndio maisha wakoloni weusi wameamua kutupitisha VIJANA wenye akili timamu na tuliokataa kuwa MAVUVUZELA YAO.
Hii iwe sababu nyingine ya kutufanya kuenda kaundamana disemba 9 tukalikomboe taifa letu kutoka mikononi mwa WAKOLONI WEUSI wanaoweza kumfunga mtu yeyote anaewapinga.
Poleni Familia na hongereni kwa kuwa sehemu ya mchango wa safari ya ukombozi wa taifa letu. Hakika tutashinda na majina yenu yataandikwa kwa WINO WA DHAHABU KWENYE KITABU CHA TAIFA JIPYA.
SATIVA "The Walking Dead"
TUTAKUWEPO🫵😎
European MPs have voted to block funding to Tanzania and to consider sanctions against powerful people behind human rights violations.
Our latest report on CNN keeps the international spotlight on Tanzania