@funjojr @Nyonyoma1 😀 Hii issue n kweli kabisa,, kuna mlima fulan uko pale musoma na kuna pango ndani yake. Kuna mali wazungu waliachaga apo ila huwez chukua kuna bonge la joka.
Kuna huo mlima mwngne apo apo musoma sema huu amna joka ila kuna wajeda wanalinda pale.
@siyagaenock1@ablsanga@godbless_lema Angalia mtu uliyemkosoa kaongelea nn afu na wew umekosoa kwa kuongelea angle nyngne kbsa. Ebu soma tena comment ya @ablsanga urudi tena uangalie ulicho comment ww after.
@siyagaenock1@ablsanga@godbless_lema Mpinge hoja yake kwa kuelezea hayo uliyosema ww yanawasaidia nn wananchi wa kawaida. All in all bado hajagusa matakwa ya wananchi wa kawaida kagusa ya wachache tu ndo hao leo wanakuja na mapambio.
@Psiteshio1 Tumechagua kufuga watoto na kulea mbwa(Uzungu), mtoto anashinda malishoni km ng'ombe alafu ng'ombe anatunzwa nyumbani na kuangaliwa kwa ukaribu kushinda mtoto.
Vise versa is true.
@Gaspinho15@IamEssyA Wengne baba zetu na mashangaz ndo wametusaidia na kutulea , ni ngumu kuamin ktk ilo ndo maana nikasema ni special case kwann niamin unachokiamin wew. Yan kwamba nikikataa ulichokisema nakua sijui.Any way kila mtu abaki na anachokijua na pole sana kwa kua na ndugu wa ivo