Tunapigana Vita kubwa mno ya kiroho, Kuna watu wanatuchukia kwasababu Hatuteseki kama walivyo tarajia, Wana kila kitu wanachokihitaji lakini wanaumizwa na kidogo chetu, Tusali sana maadui hawaonekani kwa macho, Mwisho tupambane sana kuwathibitishia kwamba Bila support yao tunawez
Watu mnaofanyia kazi maofisini, nipeni suluhisho la KITI.
Nimekalia viti vya Aina nyingi, na vile navyozidi kununua vikubwa zaidi ndio mgongo unapata Moto mkali.
Nipeni suluhisho la KITI