LETS ALL LAUGH AT CHELSEA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unakuja hospital unazua taharuki mwanao kazidiwa sana katapika mara 10 na kuhara mara 6🙌🏿
Basi EMERGENCY wanapambana wanatia line piga maji.
Mtoto kapata maji kidogo kachangamka hutaki kulazwa
Kwa maelezo yako mtoto anabidi alazwe tu. UTAMPOTEZA❗️
-HAMPENDI UKWELI NYIE😂
WADADA hasa wenye BIMA za familia na zile kubwa ukikosana na mmeo hospital sio sehemu ya kuja leta drama❗️
Mkisosana na waume zenu mnaleta watoto 3 hospital saa 7 usiku et wanakohoa kweli😂
Kaeni solve mambo yenu na mmeo nyumbani hospital sio pazuri!
-HAMPENDI UKWELI NYIE😂🫵🏿