Wachambuzi wa Wasafi fm asubuhi walisema Simba anashinda 2-0 au 2-1 kasoro Maulid Kitenge tu ndo alisema Yanga anashinda 2-0.
Crown fm wachambuzi wote wamesema Simba anashinda 2-1 au 2-0
Huu sio mtego kweli?
Nilikusikia zamani nikiwa mtoto. Lakini nilikupenda zaidi baada ya kumfahamu Maria binti yako. Inathibitisha ulikuwa mzazi mwema ktk malezi yako. Ninafahamu kila mtu atakufa lakini nisingependa Maria na ndugu zake wawe na huzuni wakati huu. Lakini sina wasiwasi mkubwa juu ya maisha yako baada ya mauti yako. Nitakuja kukuaga ktk safari yako mwisho. Much Love na lala salama Mzee wetu.
@Makaveli_255 Hapo unaenda weka vizuri mtoto uliebeba,alafu unawasha kelebu moja kutuliza kelele za maza mwenye kamdomo huyo,alafu binti itaamua serikali aisee hasira za kihehe ningemmaliza huyo binti....