@millardayo Angefuata tu ushauri wa "mama samaki" afanye mambo yake kimya kimya kwa sababu atawakera tea Gen Z. Asisahau kuwa hao ndio wateja wake kwa zaidi ya 90% kwa hiyo anaweza kurudisha biashara na wakaamua tena kuendesha kampeni ya kumsusa. Ukivuliwa nguo chutama.
@BubelwaKaiza@kigogo2014 Unapolipia huduma yoyote unalipa VAT hivyo inabidi kuwe na makato aina 2. Na baada ya hapo uliyemlipa huduma kile ulichomlipa anaenda tena kupunguza sehemu na kupeleka serikalini kama kodi ya mapato
@rollymsouth Hiyo siyo kodi. Ni unyang'anyi. Kodi hukatwa kwa asilimia ya faida unayopata kwa kufanya biashra. Kumtumia bi mkubwa hela ni biashara? Kwanza unalipa ada ya kutuma na VAT ni sawa. Operator bado anaenda kulipa Income Tax kwa ada aliyokutoza. Kwa hiyo hiki unachoambiwa tozo ni wizi
@MabalaMakengeza Mwalimu suala ni kuwa dhamira hukutuma kumtumikia BWANA anayekupa ulaji. Wabunge hawa wamewekwa na serikali na si wananchi. Hivyo wanafanya kazi yao. Wako sawa kabisa.
@Octavianlasway Kwa CCM kuna walipa kodi na WALIPA KURA. Hawa wanaofanya biashara bila kulipa kodi ndio wanaiwezesha kutawala kwa kiburi. Hawa walipa kodi ndiyo wanaendesha uchumi wa nchi. Sasa wameamua kuwaua walipa kodi tuone kama walipa kura wataweza kujaza upungufu wa mahitaji ya serikali
@franklin_tissa@HildaNewton21 Siyo kodi ni ROBBERY. Ushaona wapi kodi inakatwa kwenye hela inayohamishwa mfuko wa kushoto kwenda wa kulia? Kodi inalipwa kama kuna biashara. Kwenye kutuma pesa biashara kafanya operator kunichaji ada ya kutuma. Kile alichokata kwangu ndicho kikatwe asilia za kodi.
Unamtumia mama yako pesa kijijini wanakata tozo, mama ambae hana kazi anakwenda kutoa pesa ili anunue sababu nae wanamkata tozo... Hili ndio bunge ambalo zaidi ya nusu ya wabunge wake hawakuchaguliwa na wananchi, bunge linalopunguza bei ya bia na kuongeza bei ya mafuta.
@bajabiri Wachumi waliosoma madesa (Wachumia Tumbo). Wachumi wajuzi wanaelewa kuwa mteja anapotuma pesa ananunua huduma ya "transfer" hivyo anailipia VAT. Hafanyi biashara hivyo halipi kodi yoyote. Hiyo hela ameshailipia income tax. Pia kwenye ada ya kutuma, operator pia atalipa income tax
@kigogo2014 Kwa HAKI, ilitakiwa ada ya kutuma na VAT tu kwa sababu mtumaji kanunua huduma. Kumbuka huyu operator naye hiyo ada yake anaenda kulipa income tax humohumo na kulipa commission kwa wakala ambaye naye atatozwa kodi ya mapato (income tax) #NiWiziTu
@Enginee64171419@HildaNewton21 Wengi zaidi ya 90% hawajui lakini wamekuwa brainwashed na wapigaji wa CCM kiasi kwamba wanatetea utopolo wowote hadi wakishaona wanaumia ndiyo wanashtuka. Watu wana mahoja ya kijinga utafikiri wamekatwa vichwa wakatenganishwa na viwiliwili vyao