Wewe ndiye unayesimamia mchezo wa kazini au mtaani? Kazi yako imekuwa rahisi mno! ๐ผ๐
Koba App imeongeza kipengele maalum cha Vikundi vya Mchezo ili kumpa Admin na wanachama wake uzoefu wa kipekee wa kiuchumi.
Mfumo unakusaidia kuona:
1๏ธโฃ Admin Handling Fees: Makato ya uendeshaji yanahesabiwa kwa uwazi kabisa.
2๏ธโฃ Mzunguko wa Awamu (Rounds): Ratiba kamili ya nani anapokea kuanzia Round ya kwanza hadi ya mwisho, ikiwa na majina na tarehe halisi.
kwa urahisi zaidi.
โ Akiba na Mikopo: Rahisisha shughuli za kuweka na kukopesha ndani ya kikundi chenu.
โ Usimamizi wa Kisasa: Badilisha mfumo wa kizamani na kuwa wa kidijitali wenye uwazi zaidi.
โ Maendeleo ya Pamoja: Jenga uchumi wako na wa wanachama wenzako kwa usalama
Jikwamue Kiuchumi kwa Kutumia Programu ya Simu ya "Koba"! ๐โจ
โSema kwaheri na changamoto za kusimamia vikundi vya akiba na mikopo kienyeji. Koba App ni zana ya kifedha iliyoundwa maalum kusaidia vikundi vya akiba (VICOBA) na vyama vya mikopo vinavyozunguka kufikia malengo yao
โ Mapato ya Hisa: Gawana faida na wanachama wenzako kwa uwazi kabisa.
Jiunge na maelfu ya Watanzania wanaodigitalisha vikundi vyao. Pakua Koba App leo! ๐ฅโจ
Bofya Link Kupakua: https://t.co/ULNuMCdMIr
#KobaApp#KilimoBiashara#VicobaDigital#NguvuYaPamoja#TanzaniaFintech
Koba inakupa "Vipengele Vyenye Nguvu" vilivyoundwa kurahisisha maisha yako:
โโ Rekodi za Michango: Fuatilia kila senti unayochangia bila wasiwasi.
โ Utoaji wa Mikopo: Pata mitaji ya kukuza biashara au kilimo chako kwa haraka.
โ Risiti za michango papo hapo.
โ Ripoti za vikao kila vinapofungwa.
โ Vikumbusho vya marejesho ya mikopo.
Ni Uwazi na Uaminifu kwa 100%. Hakikisha namba yako ya WhatsApp imesajiliwa kwenye App ya Koba kuanza kufurahia huduma hii!
#KobaApp#Notification#VicobaDigital
Koba Sasa Inapatikana WhatsApp! ๐ฑโจ
Sema kwaheri na kusubiri ripoti za makaratasi au kupoteza kumbukumbu za michango yako. Sasa, kila kinachoendelea kwenye kikundi chako kinakufikia papo hapo kupitia WhatsApp yako! ๐
New in this update:
- Improved Group screen experience and cleaner card layout
- Community Contribution now appears directly in Group Details
- Better loading states with shimmer cards for a smoother feel
- Faster navigation and improved responsiveness on key screens
- Improved notification handling and in-app notification experience
- Contribution/payment flow refinements for clearer status and feedback
- Stability fixes across major group and transaction screens
Kama kikundi chenu bado hakitumii KOBA, mnapitwa na uhondo wa Zero Stress.
Pakua au Update App yetu sasa! ๐
โจ Uwazi Zaidi, Maswali Pungufu!
Pakua App hapa na uanze mzunguko wako wa 2026 kidijitali: ๐ https://t.co/P2hHTslK3Q
#KobaMpya#Transparency#VicobaTanzania#KobaApp
Kikao kimeisha? Ripoti tayari ipo mezani (kwenye simu yako)! ๐ฑ๐จ
Tunayo furaha kuwatangazia kipengele kipya ndani ya KOBA App. Sasa viongozi wanaweza kushare "Session Report" (Ripoti ya Kikao) mara tu baada ya makusanyo kukamilika.
Hii inamaanisha nini kwako mwanachama?
๐น Unapata uhakika wa kiasi kilichokusanywa siku hiyo hiyo.
๐น Unaona jina lako na mchango wako kwenye ripoti rasmi.
๐น Hakuna tena "nimesahau kutuma ripoti" โ ni sekunde moja tu!
Je, unajua unaweza kuendesha VICOBA yenu kiganjani bila kuhitaji madaftari?
Nini utapata ndani ya KOBA?
โ Kumbukumbu za michango (Bila madaftari!)
โ Maombi ya mikopo papo hapo ๐ฑ
โ Kikokotoo cha Riba na Faini (Zero errors)
โ Forum ya majadiliano ya kikundi
Usidharau kidogo chako. Fungua KOBA leo uone jinsi akiba yako inavyokua siku baada ya siku.
Watu wengi wanasubiri wapate mamilioni ndipo waanze kuweka akiba. Lakini siri ya utajiri ni Consistency (Muendelezo).