@majizo_jr Pia mmefichwa juu ya nguvu ya maji ilifanya kazi kwel risasi hazkuweza kuwazulu waafrika mpaka pale wajerumani walipopata mbinu ya kumpata mganga kutoka kijiji jiran yeye ndio akawasart waafrika alitoa daw ambapo waliweka mbele ya bunduki zao so kuanzia hapo waafrika waliuwawa