Tanganyika AMKA 🔥👊🏽
Vijana usiku huu wako bize wanasambaza vipeperushi kuamsha watanganyiks tupambane!
Kila mtu apambane anavyoweza! Hakuna kuwapa muda wa kupumua hawa wauaji mafedhuli!
Hadi tupate Haki 💪🏽🔥
#TutaelewanaTu#JusticeForMO29
Hakuna investor mwenye akili timamu atawekeza project kubwa hivi kwenye nchi ambayo ni lawless na Rais kaua watu ili awe ikulu……. Nchi ambayo mahakama zinaongozwa na Ikulu, polisi inaongozwa na Ikulu, bunge linaongozwa na Ikulu….. Nchi haingozwi kwa sheria ila inaongozwa kwa matakwa ya mtu mmoja na washirika wake. Hapo ni mwendo wa uwekezaji wa kuiba viwanja vya wazi na kufungua showroom za magari.
mimi pia nawasihi watanzania, wanaoweza, waichangie chadema. tunafaidika moja kwa moja tukiwa na upinzani imara, unaoweza kuishika mapembe ccm na serikali yake, hususan kwenye sera na matendo yake ya kionevu na kikandamizaji dhidi yetu w'nchi. tujihimu:
@lifeofmshaba@Sir_Shuma Tanganhika ndio koloni la zanzibar. Wao ndio wanyonyaji wa kila kitu. Sauti hizi ziwe kubwa Tanganyika tumalizane na muungsno wa kiboya