Wachezaji Wa Yanga,Heshima Na Thamani Mlioionesha Leo Kwa Mashabiki Wa Yanga,Sisi Kama Mashabiki Hatuna Cha Kuwalipa Ila Tunauhakika Kabisa,Majina Yenu Yameandikwa Mbinguni Kwa Wino Wa Dhahabu.Tunashukuru Sana Kwa Kuja Uwanjani
Bila kupepesa macho, viongozi wa Yanga mkithubutu kutuletea huyu kocha, navunja kadi yangu ya uanachama, na jezi zote nilizonunua kwa misimu yote nazichoma moto! Msituletee mazoea, Yanga si sehemu ya kufanyia majaribio!
ππππ πππππππ! π
Yanga players have already been informed of Fadlu Davidsβ imminent arrival.
During this international break, Yanga will travel to Zanzibar for a short training camp to prepare for their upcoming matches and the CAF Champions League group stage.
Fadlu Davids will lead the team to Zanzibar on Sunday.
A new era begins at Jangwani! πΉπΏ
Mashabiki wa Yanga, mnajisikiaje kuhusu sura hii mpya? π
#AfricanFootball #Yanga
Wanangu Mkeka wa Hela huu hapa sitawaambia tena.
Odds:11
Link ya mkeka hii hapa :https://t.co/xZ6VtwuVgj
Zima VPN ukiwa unaweka mkeka.
#777BetTz#777BetMabingwa
kuna vita kali sana ipo mtaani kati ya wasomi na raia ambao sio wasomi ila wametoboa, Sijui kama kuna mtu ashawahi kuona hili Yani mshikaji anaweza kukunyima mchongo kisa wew ni msomi au umemzidi
Elimu alafu poa tu.!!
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amewataka Wanachama na Mashabiki wa Klabu hiyo kuwa watulivu na kuepuka maandamano au vitendo vinavyoweza kusababisha migogoro, kufuatia mvutano unaohusu mchakato wa uchaguzi wa Viongozi wa klabu hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Oktoba 29, 2026, Jijini Dar es salaam, Mangungu amesema Serikali na Mamlaka zinazosimamia soka Nchini zinaendelea kutekeleza majukumu yake, hivyo hakuna sababu ya Wanasimba kuchukua hatua zinazoweza kuvuruga amani na mshikamano.
βNawaomba tutulie, Serikali inafanya kazi yake na Mamlaka za Soka Nchini zinafanya kazi zilizopo chini ya dhamana yao, hatuna haja ya kuingia katika misukosuko ya aina yoyote,β amesema Mangungu.
#MillardAyoUPDATES