@ze_mandevu Wote wapewe kiatu cha ufungaji bora na wanastahili maana tukienda kama wanavyosema wao kuwa magoli ya penalt sijui kitu gani obviously tuta stick kwa mayele kwani hana hata goli la penalt..Na kumbuka ni mfungaji bora na si mfungaji na mtengenezaji
Congratulations young africans, you really fought a lot but the Almighty God was not with us, thank God let's go back to Tanzania and look at the trophy that is left under us, inshallah #Daima mbele nyuma mwiko💪💪
Ni miaka 30 sasa toka fainali ya mchongo ichezwe,Na kumbuka hata azam media ilikua haioneshi mechi yoyote ile live kila mtu akaona,Lakini leo Onyango ana miaka 28 anakwenda kushuhudia nusu fainali ya kwanza ya timu kutoka nchini tanzania🤣#10 daima dam dam #Our team,our time💪
Kwani si ndio huyu huyu Gharib Mzinga alitangaza mechi ya timu moja hivi kutokea hapa tanzania ikiwa uarabuni na ikashinda??...Leo nini kimetokea tena jamani🙃
@AliKamwe Daima mbele nyuma mwiko...tusikate tamaa bado njia ipo na imenyooka kwetu the good thing game imeisha sasa focus ye2 ni mchezo wa robo fainali na michezo iliyobaki..All the best chama langu..@yangasc1935 kuteleza si kuanguka
Tarehe 16/04 mwaka huu kuna timu kutokea mitaa ya msimbazi itapokea kipigo kizito mpaka watu hawatatamani kuona wala kuskia nini kinaendelea...@yangasc1935 #Daima mbele nyuma mwiko💪