@hermescash@OscarMaboko ila bro kuna wengine watumishi jina tu hawana maana kabisa bro ukifanikiwa kuona matendo yao ila naamin Mungu yupo na wapo kweli baadhi wanamtumikia ila wengi makanjanja na wanatumia dini kujipatia kipato
Wakumbusheni wasaliti popote walipo kwamba wana saa moja tu kuanzia sasahivi saa moja kamili asubuhi kufika Makao Makuu ya @ChademaTz ifikapo saa mbili kamili. Kikao hakitaahirishwa kama wanavyofikiri ama wanavyodanganywa.
@lifeofmshaba Hivi ww bwana Pallamagamba unawezaje kuita wabunge wa EU kwamba ni wahuni kweli Professor?!! Watu wanahoji pesa zao zimetumikaje unawatukana?!! Serious?!! Huu ujinga ulio ufanya utaligharimu Taifa namshauri Mh, rais akutengue mara moja kabla hujaharibu
Wote mlioshiriki kuwaibia kura waTanzania ambao kwa kauli moja walichagua viongozi wao nyinyi kwa ujnga wenu na tamaa ya pesa kdogo mkaamua kuingia na mabegi ya kura vituoni na wengine makageuza matokeo kwa makusudi kabisa haki ya Mungu laana ikawe juu yenu na vizazi vyenu Qmnnzn
@azamtvtz Mchambuzi kama huyu anaitwaje studio mtu kama amabe naona kabisa kichwa chake hakina akili kabisa yaan kinatumika kama mfuko tu wa kubebea meno manake anaongea utopolo