@real_mogela@TMnyama4_ umesahau PAYE, NSSF na HESLB kama alikua mnufaika, still you make a very solid point.
Kwanza NGO inakufundisha skills muhimu proffesionally na personally, miaka 5 baadae utakua mtu mwenye fursa ya kupata kazi nzuri yenye maslahi (only if una mindsets ya kujifunza).
@Sirjeff_D Na wewe kiazi kweli, sasa hawa watu na dini ya uislam kuna uhusiano gani? Tunafata mafundisha ya dini sio watu kwani hao pia ni binadamu na wanamapungufu yao kama sisi tu.
@mokertz__ Kwahio inamaanisha huyu jamaa ni professional cryopractor, kwamba kasomea na anavyeti vinavomruhusu kufanya hio kazi, em tuache na sisi tupumzike bana.
“Unajua saa zingine ukilewa ndo uchaga wako unaonekana” aliskika demu akisema baada ya PETRO AGASTUS MASAWE kukataa kununua kuku na mishkaki kwa wakati mmoja 😂😂😅🤣
@bwana_Maji Hahahaha tulijaribu kuwaambia @yangasc1935 hii michuano sio ya watoto ... huku narefa ni bei ghali sana hawakuskia ....
Haya tumepokea posa ... ndoa kwa mwarabu
@elonmusk Why not make a vitual council and have open discussion on the platform, this way you can increase diversity and acceptability and reduce cost at the same time ...