#TANZANIA:
”sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip." Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson.
Kwa sera hii ya ardhi kwamba ardhi itabaki kuwa Mali ya umma watanzania wote tutambue haya wanayo yapitia wamasai hata sisi kuna siku yatatukuta ni swala la wakati tu.serikal ya ccm imeshikria ardhi ili wamnyanganye ama wampe wamtakae hata kwa kuuwa RAIA,katiba mpya ndio tiba.
Huyu mzee alipanda mbegu ya ubabe na imeota matunda yake ndio hayoo tunayaona,alizuia mikutano tuka ufyata,akateka watu na kuwapoteza tukaufyata,akashambulia kwa risasi tukaufyta,akanyanganya watu mashamba na nyumba tukaufyata,akabomoa nyumba za watu tukaufyta,sasa ni wamasai!!
Good morning #Tanzania and World
Let the prayers of the Maasai people facing a possible brutal forced eviction greet you today!
@SuluhuSamia government is clearly prepared to use police, militia and army to take away Maasai land and give it to UAE investor
#StopMaasaiEviction
Yaani tz ni nchi huru kwamba mkitaka kutunyonga basi mtunyonge tu?kama ndivyo huyu msomi wa majalalani atuambie kwanini Mimi nikimpiga mke wangu nakamatwa?kwani mambo ya familya yangu yanaihusu nini serikali?this is nonsense!!
Bila shaka unafanya ulinganisho kati ya msafara wa mh mbowe akipokelewa na wananchi na mh rais,jiwekee hata akili za bandia ili ujue msafara wa mbowe umesheheni magari ya watu binafsi tena waliweka mafuta na kuingizia taifa faida kiuchumi,hayo ma V8 yaliwekewa mafuta na nani?
Nenda hija lakini swali unavyo swali kumbuka ktk shida inayo wapata wamasai ulikubari kushiriki dhuruma hiyo na hakika siku ya umri kyama ikifka utaulizwa.
Hongera @mshambuliaji kwa dhamira hii ya kutimiza moja ya nguzo za dini yako. Hakika roho zetu hazitatulia hadi hapo zitakapotulia kwa Mungu. Bila shaka utaomba kwa ajili ya taifa pia. Tunakutakia kila la kheri.
nia eti kuna siku litajaa,V8 mchana zinabeba watawala usiku zinasomba mihela isyo tunzika bank ispokua kwenye makontena,hali ngumu watu tunashindia mlo mmoja lakini viongozi hawajari wao binadamu wanao stahiri maisha mazuri ni familya zao,endeleeni kulipa kodi na kuimba ccm oyee!
Naomba tutumie akili kidogo tu kutafakari,jukumu la kufkria ni lako wewe na sio jukumu la MTU yeyote yule,chukua watz million 10 ndio wanao tumia umeme wa kawaida,taa,TV na subwoofer tu,watatumia umeme wa unit 80 ×300=24,000 kwa mwezi tuzidishe kwa m.10 utapata bilioni 240 kwa mw
Majizi yanaitafuna nchi bila uoga wala huluma,watz tunakua maskini kwa sababu tumekabidhi nchi majizi,hili shirika ndio linaongoza kwa kupigwa pesa na watawala na kamwe ccm hawawezi kukubari shirika hili kubinafisishwa wala kushindanishwa,tuendelee kusomba maji tunamimina ktk gun
Tanesco ndio moja ya mashirika ya umma ambayo yanatumika kupiga mabilioni na watwala wa ccm,shirika kila siku linajiendesha kwa hasara tangu Uhuru hadi leo ukiuliza kwanini?hakuna majibu kwani top leaders wote wanashindana kununua mitaa ulaya na watoto wao kusoma vyuo ghari.
Kutoka Sangu Mbeya Mpaka kusoma Certificate na kuendelea hadi akahitimu na Degree kwenye Chuo cha Biblia Afrika Kusini. Akarudi Nchini akawa Kiongozi wa Vineyard Church na akaingia kwenye Siasa akawa Mbunge wa Iringa Mjini kwa Miaka 10. Leo Mchungaji Msigwa ametimiza miaka 57.
@HecheJohn @OnesmoNickodemo Kitu watz hatujui ni kwamba tunapambana na majambazi yanayoshirikiana na majeshi yetu kulinda matrioni tunayo polwa kila kukicha.
Kama mtoto mmoja tu wa kigogo anasomeshwa nje ya nchi kwa paund 28,000 kwa mwaka,je kama ana watoto watano?je watoto wa nduguze?baba anapokea mashahara wa sh.3,000,000,000 tu!!jiulize hao watoto wanatumia sh.ngapi kwa siku?unakutana na mtu mjinga eti mfia ccm kwa bia ya 1500?upuz