Kama mwanaume, hakikisha haupuuzi wala kudharau kupokea simu za watu.
Tabia ya kupokea simu na kurudisha zile zilizokupita (missed calls) ni alama ya uungwana, ukomavu, na uaminifu mkubwa ambao mwanaume yeyote anayejitambua anapaswa kuwa nao.
Chini ndio kitu kinamaliza pesa zaidi sema utailaumu tu pombe bure!
Chini inajumuisha;-
•Usafiri
•Pombe
•Msosi
•Hoteli
•Bado hujampa hela hapo Asubuhi
Note: Kumbuka hivyo vote ni siku moja tu, Tuchukulie kwa mwezi mara 3 minimum😂
Uanaume mateso sana!
#TajiriLaKihaya
Ukweli mchungu ni kwamba;
Kwa Daslam hii …
Kila Manzi inauza…
Inategemea tu…
APPROACH ulioingia nayo na MAHALI mlipokutana!
Manzi uliokutana nayo Hospital 🏥 kuna mwingine alikutana nayo CLUB…
Manzi uliokutana nayo Sokoni au Supermarket kuna Mwingine amekutana nayo kwenye lift ya Hotel akitoka kuliwa…
Manzi uliokutana nayo kanisani kuna mwingine kakutana nayo saa Saba usiku Harusini…
Manzi mliopendana nayo kutoka HighSchool kuna mwingine kakutana nayo akiwa Chuo ametoka na marafiki zake Restaurant Au swimming pool…
Unaweza kuwa na manzi yako wewe hakuuzii Ila haimaanishi kwamba hawauzii wengine 😅
Ukitaka Tukosane Useme Vibaya Uislam. Tunakosana Mazima Ata Kama Ni Ndugu Yangu,
Ata Kazini Kwangu Waislam Wananafasi Kubwa Sana Ata Wakikosea Huwa Nakuwa Mwepesi Kuwasamehe.
Ewe Ndugu Muislam Muone Muislam Mwenzio Kama Ndugu Yako, Usimtenge Kama Huwezi Kumsaidia Basi Muombee🙏🏿
Ukifanya biashara ya simu au laptop au tablet za A-TOUCH ni swala la muda tu kuitwa TAPELI🙌Hivi vifaa Dubai unanunua kinawaka vizuri kikifika kwa mteja sasa😂
Anyway ivi vifaa used ni vyema ukanunua kwa mtu unayemuamini au anaweza ku solve return ata kwa kukubaliana🙏
Akili ya mtu anayo itumia kutafuta pesa na kusurvive ULE mji(dar es salaam) Mimi Huwa naonaga mtu wa mkoani hawezi hata kidogo ULE mji ni noma na nusu ndio maaana madogo wengi yakiwashinda wanakua MASHoga wanakimbia majukumu. Kama una mwanao Yuko kule huyo ni OG🫡
Kuna Umri Ukifika Huhitaji Ujuzi Tena Ili Kupata Michongo—Unahitaji Network ya WATU Sahihi Wenye Credibility Watakaolitaja Jina Lako Sehemu Zenye FURSA then Boom Stampede!
PS: Ili Kujenga EMPIRE Unahitaji Watu