Kabla hatujaendelea.
.
Usisahau Kuni follow na ku turn on notification @MurseNyagawa
.
Like na retweet.
.
Karibu kwa Maoni Na shuhuda za kuelimisha wengine.
.
Asante kwa kufanya hivyo.
Tuendelee 👇
Kupunguza Hatari ya Kupata Saratani: Lycopene inayopatikana kwenye nyanya imehusishwa na kupunguza hatari ya saratani, kama saratani ya tezi dume, mapafu, na tumbo. Pia, nyanya pia zina phytochemicals na antioxidants ambazo zinasaidia kupambana na ukuaji wa seli za saratani.
Afya ya Moyo: Nyanya zina kiwango kikubwa cha potassium na vitamini C, ambavyo vyote ni muhimu kwa afya ya moyo. Potassium inasaidia kudhibiti shinikizo la damu na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo. Vitamini C husaidia kuimarisha mishipa ya damu.
JINSI YA KUTOA HUDUMA YA KWANZA KWA MUATHIRIKA WA SUMU.
Yaweza kuwa mtoto ame kunywa sumu, madawa au Kuwekewa sumu katika chakula, Unaweza kumpa huduma hii ya kwanza ili kuzuia kifo kabla ya kuwasili kwa usaidizi wa matibabu.
Uzi🧵 Retweet 🔄 kuokoa maisha ya mmoja wetu.
1/7