Get out of your comfort zone and into the conversation as HBO’s Overtime with @BillMaher comes to CNN. Catch Bill and all his guests tonight at 11:30 p.m. ET
Ndoto ya wananchi wa Wilaya ya Chato kuwa Mkoa imegonga mwamba baada ya mikoa jirani ya Kigoma, Kagera na Mwanza kutokuwa tayari kuachia maeneo yake ili kuunda mkoa mpya wa Chato. Soma Zaidi https://t.co/w59SzD32Vm https://t.co/xWpNbOg8By
@sadamwanakasema unataka kunambia #zuhura#zuchu kachanja chale? na hiyo video ulopost ndo utafanya tuamin mrogo nangai 😭 ndoa bado haiji pamoja na yote https://t.co/P6e5o8Vklw
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim, mtumishi mahiri wa umma wa Watanzania, Afrika na Dunia kwa zaidi ya miongo minne. Katika siku hii adhimu ya kumbukumbu ya miaka 80 ya kuzaliwa kwako, tunakushukuru kwa utumishi uliotukuka kwa nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa tarehe 17th March 2021, saa 12 jioni tumempoteza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli ambaye amefariki kwa maradhi ya moyo katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.