Kwifti Crypto Academy Tunafundisha Concept nzima ya Blockchain, Namna ya kuuza na kununua Coins, kuhold na kustake Kwenye DEFI & Markets Kwa KISWAHILI Buree!.
Habari njema kwa wale wanaotaka kuwa na coin zao! 🎉 PancakeSwap imeleta SpringBoard, jukwaa bora la kutengeneza na kuzindua token kwenye @BNBChain! 🚀
✅ Hakuna haja ya coding
💸 Hakuna ada za launch
🔗 Uunganishaji wa token mbalimbali
📈 Boost liquidity kwa $CAKE
Putin: 'Hakuna anayeweza kuiban Bitcoin.' Rais wa Urusi ameidhinisha sheria mpya inayoitambua #Bitcoin kama mali halali kwa biashara za kimataifa, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya crypto katika uchumi wa kidijitali. 🌍💰 #afrika#fedha
5/ 🔮 Hitimisho:
AI ni teknolojia inayobadilisha dunia. Kuwekeza katika sarafu zinazohusiana nayo sasa ni hatua ya busara kwa faida ya baadaye. 🌟 #Crypto#ArtificialIntelligence#AIRevolution
1/ 🚀 Kununua sarafu zinazohusiana na AI ni fursa ya kipekee sasa!
Teknolojia ya AI inabadilisha sekta mbalimbali kwa kasi. Hii ni wakati mzuri wa kuwekeza katika sarafu zinazotumia AI kama msingi wa ukuaji. #AI#Crypto#InvestInTheFuture#tanzania
4/ 💡 Kwa nini sasa?
AI itaendelea kuwa na nafasi kubwa katika siku zijazo. Kuwekeza katika sarafu zinazohusiana na AI sasa kunaweza kuwa na faida kubwa kutokana na ukuaji wa teknolojia hii. #InvestSmart#FutureTech
Thamani ya soko la Bitcoin ni zaidi ya $1.89 trilioni, kubwa mara 22 ya pato la taifa la Tanzania (GDP) linalokadiriwa kufikia $83.43 bilioni mwishoni mwa 2024. Fedha za kidijitali zinaonyesha nguvu kubwa katika uchumi wa dunia. Je, uko tayari kwa mapinduzi haya? 🚀 #Bitcoin#tz
🌐🔗 2020: Halving ya tatu! ya BTC, bei ilipanda kutoka $8,821 hadi ~$67,527, ongezeko la ~665% 🏆
🌐🔗 2024: Halving inayofuata! inakadiriwa kuwa kati ya 18-25 Aprili 2024. Je, tutashuhudia kupanda kwingine? 🤔💸
#Bitcoin#Halving#Crypto
🌐🔗 2012: Halving ya kwanza! ya BTC bei ilipanda kutoka $12 hadi ~$1,132, ongezeko la ~9,400% 🚀
🌐🔗 2016: Halving ya pili! ya BTC, bei ilipanda kutoka $650 hadi ~$19,188, ongezeko la ~2,852% 📈
Katika Kipindi cha miaka 10 iliyopita, Bitcoin imekuwa na wastani wa return ya 230% kila mwaka, wakati dhahabu imekuwa na wastani wa 8.87%. 🚀💰 Dhahabu ina thamani yake, lakini Bitcoin imeonyesha ukuaji usio wa kawaida! 📈✨ #BitcoinVsGold#InvestmentReturns
🚨 BREAKING: Rais wa 🇸🇻 El Salvador atangaza kuwa watanunua #BTC moja kila siku hadi #Bitcoin itakaposhindikana kununuliwa kwa fedha za kawaida. 💸📈 #Crypto#ElSalvador#BitcoinDaily
Hii si kweli kwa Bitcoin. Haijalishi bei ya Bitcoin itapanda kiasi gani, kutakuwa na Bitcoin milioni 21 tu milele. Ndiyo maana napenda Bitcoin. 💛💎🛢️🚫💰📈"
Robert kiyosaki anasema
"Napenda dhahabu na fedha. Ninamiliki migodi ya dhahabu na fedha. Tatizo la dhahabu na fedha ni kwamba... kadri bei inavyopanda, ndivyo dhahabu na fedha zaidi zinavyopatikana. Hali ni hiyo hiyo kwa mafuta. Pia ninamiliki visima vya mafuta.