Uchambuzi Bora kabisa kutoka kwa Furhan sikiliza kisha Bonyeza repost GAIDI.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
🚨LEO TUNAAMKA NA HABARI KUBWA ANZA KWA KUREPOST.
COMMONWEALTH MINISTERIAL ACTION GROUP
WAMETOA RATIBA YA HATUA ZA UTEKELEZAJI KWA TANZANIA NDANI YA SIKU 30, 60 NA 90
Pamoja na mambo mengine Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imepewa siku 30 iwe imetatua suala la kuzuiliwa kwa Mhe. @TunduALissu kupitia njia ya kisiasa na kisheria lakini pia kuwaachilia huru watu wengine wote wanaoshikiliwa kwa sababu tu ya kutumia haki zao za msingi kwa njia ya amani.
Ndani ya siku 60 wameambiwa warejeshe upatikanaji kamili wa majukwaa ya kidijitali (digital platforms) kusitisha vitendo vya vitisho na unyanyasaji dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya siku 90 wahakikishe waitishe jukwaa la kuaminika na shirikishi la mashauriano kati ya vyama vya siasa, likiwa na wawezeshaji wasioegemea upande wowote yani Jukwaa hilo liwe na mamlaka ya kujadili na kukubaliana kuhusu marekebisho ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, suala la watu waliowekwa kizuizini na uwajibikaji.
Lakini pia wametoa Onyo la Septemba 2026 kwamba Tanzania imeamriwa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mambo hayo kabla ya mkutano maalum utakaofanyika Septemba 2026.
Onyo la Novemba 2026 (Hatua Kali): Jumuiya ya Madola imetoa onyo la mwisho kwamba isipoona maendeleo yoyote kufikia Novemba 2026, itachukua hatua kali zaidi dhidi ya Tanzania (ambayo kwa sasa tayari ipo chini ya uangalizi kwenye Agenda Rasmi
Acha kuendelee kuwaka.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mkiambiwa wananchi wamechoka upumbavu hamtaki, angalia sasa mpaka “MHESHIMIWA WAZIRI” anazomewa wazi wazi mbele ya kadamnasi😂😂.
Kukimbia hawezi, kuzuia vyombo vya habari hawezi😂😂😂😂😂😂😂!!
Kazi nzuri WANANCHI, tutafika tu.
TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao
Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania,
Salamu za amani na mshikamano.
1. UTANGULIZI
Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika tarehe 7/7/2026, kuanzia asubuhi, katika mikoa yote. Taarifa rasmi imeshawasilishwa kwa Jeshi la Polisi katika kila mkoa kwa mujibu wa kifungu cha 43 cha Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi (Sura ya 322).
2. MSINGI WETU WA KIKATIBA – HAKI YETU YA KUANDAMANA
Maandamano haya yanalindwa moja kwa moja na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977:
• IBARA YA 20(1): Kila mtu anayo haki na uhuru wa kukusanyika na watu wengine kwa amani, kujumuika nao, na kutoa mawazo hadharani. Hii ndiyo haki kuu inayolinda maandamano yetu.
• IBARA YA 18: Kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni yake na kuyatoa, pamoja na kutafuta, kupokea na kusambaza habari. Sauti tunayoitoa mitaani ni utekelezaji wa haki hii.
• IBARA YA 21(1): Kila raia anayo haki ya kushiriki katika shughuli za utawala wa nchi. Maandamano ya amani ni njia halali ya ushiriki wa kiraia.
• IBARA YA 8(1)(a): Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na serikali inapata madaraka yake kutoka kwa wananchi.
• IBARA YA 13: Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki ya kulindwa na sheria bila ubaguzi.
Aidha, Tanzania imeridhia Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa (ICCPR, Ibara ya 21) na Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu (Banjul Charter, Ibara ya 11), yote yakilinda haki ya kukusanyika kwa amani. Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Rev. Christopher Mtikila dhidi ya Mwanasheria Mkuu [1995] TLR 31 ilithibitisha kuwa hatuhitaji "kibali" – tunahitaji kutoa taarifa tu, na tumeshaitoa.
3. NGUVU YETU – VIJANA WA TANZANIA
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 (Ofisi ya Taifa ya Takwimu – NBS), Tanzania ina watu 61,741,120, na vijana wa umri wa miaka 15–35 ni asilimia 34.5 – sawa na vijana zaidi ya MILIONI 21. Kwa makadirio ya mwaka 2026 (ukuaji wa asilimia 2.9 kwa mwaka), vijana wa Tanzania sasa wanakadiriwa kufikia MILIONI 23–24. Vijana ndio wengi, sisi ndio nguvu kazi ya taifa, na sauti yao ya amani haiwezi kupuuzwa. Zaidi ya nusu ya Watanzania wote wako chini ya miaka 18 – mustakabali wanaoupigania ni wa wengi.
4. MPANGO WA SIKU
• Kuanzia asubuhi: Kusanyika katika vituo vikubwa vya magari, hakikisha katika vituo vyote vya magari, pikipiki, daladala, bajaji kuna kuwa na mikusanyiko mikubwa nchi nzima kila mtaa/kijiji, lengo ni kuhakikisha ulinzi wa pamoja, hakuna polisi aliyepanga kuua atakayeweza kushinda mtaa mzima, hii ni hatua muhimu kwa vijana wote nchi nzima
• Bodaboda, Bajaji na daladala zitatangulia, wananchi watafuata nyuma kwa utaratibu, hakuna vikwazo vya Polisi au Jeshi vinavyoweza kushinda muundo huu, tunaomba Bodaboda, Bajaji mamia kwa maelefu mjaze barabara zote
• Njia ya maandamano: [Taarifa zote zitatumwa moja kwa moja kwa njia za simu(Whatsapp), Email na zingine zitatoka kwa wamiliki wa magari, ambao walitoa mawasiliano]
• Mwisho wa maandamano: [Taarifa zote zitatumwa, kulingana na muda na mpango kazi wa siku]
5. KANUNI ZA MWENENDO – LAZIMA KWA KILA MSHIRIKI
• AMANI KABISA: Hakuna vurugu, matusi, wala uharibifu wa mali – Ibara ya 20 inalinda kusanyiko la AMANI tu
• HAKUNA SILAHA: Usibebe fimbo, mawe, au chochote kinachoweza kuonekana silaha (Kanuni ya Adhabu, Sura 16, kif. 74–76)
• VYOMBO: Egesha pikipiki/gari mahali salama palipopangwa, si katikati ya barabara
• WACHOCHEZI: Ukiona mtu anayehamasisha vurugu, mtenge na umjulishe msimamizi[Viongozi watakuwepo kulingana na mpango kazi] mara moja
• MAELEKEZO: Fuata wasimamizi wenye [Viongozi watakuwepo kulingana na mpango kazi] pekee
Hi guys, I need a huge favor. Naomba msaada wenu mkubwa.
Hili tangazo ni la maana sana, siwezi kuelezea kwa kina sasa hivi ila baadae nitawaelezea. Ila ni process ya kupata account zangu za meta (instagram na Facebook)
Naomba mnitumie posti yoyote ile ya Mmarekani yoyote yule, mweusi au Mzungu ambae kawahi kuandika posti yoyote ile akiikosoa serikali ya Tanzania na posti hiyo haikufutwa au kuchukuliwa hatua na meta, posti lazma iwe kwenye mitandao ya instagram au facebook sio humu X.
Sio lazma awe Mmarekani au mzungu, hata awe mweusi ila sio Mtanzania ila awe anaishi hapa Marekani au hata nje ya Marekani.
Yani kwa kifupi posti za foreigners haswa wazungu wakiikosoa serikali ya Tanzania.
Naomba mnitumie kupitia whatsapp +1 424-537-3057