@fatma_karume Ndugu zetu wamasai kusema ukweli hizo fimbo na masime yao watembee nayo huko kwao vijijini. Ambapo utamaduni na mila zao pekee zaheshimika. Kwingine kuna tamaduni tofauti na hivyo waheshimu wenzao.
Asante
@Nindi_Jr Nimeisha muona Beekeeper kutoka kwenye channel yako kiongozi. Saafi sana ila hawa actors nao kuna wakati kama vile wanakuwa super human.
Wapunguze kiduchu ionekane kama vile natural hivi. Sterling anakuwa na nguvu mpaka basi.
@masoudkipanya Kusema ukweli TANESCO najua kuwa wana changamoto na nahisi ya kwanza kabisa inatokana na siasa. Lkn kwa sasa nafikiri shirika linaikaribia sana TIPPING POINT. Nawaombea watendaji wa shirika kwenda vyema na kufikia malengo yao kabla shirika halija na total collapse.
“It is praiseworthy to be brave & fearless, my son, but sometimes it is better to be a coward. …But for all that Ezeulu would rather have a sharp boy who broke utensils in his haste than a slow and careful snail.”
Arrow of God
Chinua Achebe
@Tz_Kwanza Huyu ni Prof kwenye kada ya udaktari. Anayeleta dhihaka ajue bayana ukiugua utaenda tena kwake na kutaka ushauri huo lkn kwa gharama.
Ushauri toka kwa Daktari mbobezi tena Prof kuupata bila ya gharama ni ndoto sana kwa wengi wetu.
Ninawaomba watanzania kuwa makini na mizaha.
@RahmaMwita Rahma uko wapi ? Nna zawadi yako dada yangu. Shemeji yangu hana shida kama wayaishi maneno yako.
Mwanamke hata awe mzuri vipi, kama tabia ni sifuri kwisha kazi. Hata awe mahiri kiasi gani faraghani kama si mnyenyekevu, kesha.
Asante sana @RahmaMwita
Una hekma na heshima.