I think wanasiasa wote wa upinzani, wanaharakati wote na yoyote Tz ambae hana uhakika na usalama wake ni lazma watumie hii app inaitwa life360.
Niliijua hii app kupitia crime show inaitwa 2020. Polisi hapa Marekani walimpata mtu aliemteka na kumuua msichana mdogo wa miaka 16 kwa kutumia hii app. Huyo msichana na rafiki zake close walijiunga na hii app wakawa wana trackiana, alipopotea wenzie wakawapa polisi data zake za kwenye hii app. Polisi wanatumia app kujua the exact moment and location aliyopotea.
Mimi naitumia kuwa track watoto wangu 24/7. Kenzo haipendi hii app ila hana choice. Na pia naitumia kwa shemeji yenu kuni track.
Hii app inatrack kila kona mtu anapoenda na it’s tuma allert kwa watu waliopo kwenye circle yako. Yani ukitekwa na simu kuzima inaonyesha kabisa ulitekewa eneo gani na simu ilizimiwa wapi na saa ngapi. Na simu ikitupwa pia inaonyesha iliyopita wapi na saa ngapi.
Yani kwa kifupi ina track kila sehemu ulipokuwa simu nzima, kila barabara uliyopita, kila sehemu uliposimama mpaka dakika unatekwa inatuma alert kwa watu kwenye circle yako. Hata kama ulikuwa unatembea kwa miguu then ukapandishwa kwenye gari inaonyesha mpaka speed ya gari na mwelekeo wa gari inaonyesha.
I wish Polepole au Mzee Kibao wangekuwa na hii app kwenye simu zao, tungejua kwa ushahidi usiopingika walichukulia saa ngapi na exact location waliyochukuliwa na mwelekeo walipoenda. Yani ikiwashwa tu inatuma alert. So muda ule wanakufosi utoe password hii app inaonyesha watu wako mahali ulipo na hata wakiifuta app kwenye simu yako ila tayari alert zimetumwa kwa watu wa circle yako.
Hata ukipata ajali ya gari inatuma message kwa watu wako kuwa umepata ajali na eneo ulilopatia ajali.
Narudia tena wanasiasa wooote wa upinzani na wanaharakati lazma uwe na hii app kwenye simu then add mtu mmoja au wawili unaowaamini ili lolote likikupata tunajua pa kuanzia.
Kwa wazazi, kama unamtoto kaanza ku drive hii app inakwambia mtot anaendesha gari kwa speed gani na hata akigusa simu huku anaendesha inakutumia ujumbe.
Jamani naomba tusisikie tena mtu katekwa Tanzania alafu hakuna mtu wake wa karibu wa kutupa hii tracking. Hii app ina save tracking record ya siku 30.
Habari za leo? Naomba unisaidie kupost huenda ndugu zake wakapatikana. Huyu dada yupo maeneo ya Ubungo, Tanesco karibu na kanisa la Gwajima. Mara nyingi ukienda mitaa hiyo utamkuta akiwa na mwanae wameketi hapo. Anaonekana ana changamoto ya afya ya akili.
Hana chakula, anasaidiwa na wapita njia. Hana pa kulala analala barabarani. Hakuna anayejua historia yake vizuri maana hapendi kuzungumza. Hujikalia peke yake na ni kama mtu anayetafakari mambo mengi kichwani. Hatujui alipitia changamoto gani mpaka kuwa kwenye hali hiyo.
Tunaomba utusaidie kupost huenda ndugu zake wapo mkoani lakini hawajui changamoto anayopitia ndugu yao huku DSM. Kwa yeyote anayemfahamu anaweza kuwasiliana nasi kwa nambari 0718057567 au 0714350556. Asante.!
Naomba tujitahidi kushea hii post au kulike na kukoment Ili Facebook waipeleke mbali iweze kuwafikia wengi ndugu wapatikane.
Aisee hizi changamoto hizi basi tu.
Mwenyekiti wa chama cha Wamiliki wa Daladala mkoani Dar es Salaam anasema hizi ndo nauli walizopendekeza wao kutokana na kupanda mwa mafuta.
Nauli ya 600 iwe 850
Nauli ya 700 iwe 1300
Nauli 800 iwe 1700
Nauli ya 900 iwe 2100
Nauli ya 1100 iwe 2500
Nauli ya 1300 iwe 3000
Lakin