Ungana na wataalamu wa Afya ya mazingira, kuboresha huduma za afya kwa akina mama.🤩
Mama ni muandaaji wa taifa bora la kesho.✨
Tembea,Kimbia na Afisa Afya okoa maisha ya mama na mtoto.��♂️✨🚀
Kushirikia matembezi ya Tehsa Walkathon season 1, ni rahisi sana.🤩🥳
Gusa hii link kisha fata hatua zilizoainishwa kwenye poster;
https://t.co/oCh7P6D1rB
Kimbia, Tembea na Afisa afya kuokoa maisha.🏃♀️🏃♂️
Registration is now open! 🤩💥
Join us for TehsaWalkathon Season 1 on May 3,2025.
Don't miss this exceptional event a chance to have fun, connect with experts, and make a real impact in saving the lives of mothers and children.
Register now ; https://t.co/FwaM8A8Lju
The #Commonwealth Climate Finance Access Hub advisers are in Baku, Azerbaijan for #COP29! 🇦🇿
They will advocate for climate finance that’s affordable, accessible & sustainable.
To date, #CommonwealthCFAH has helped small & other vulnerable states mobilise over US$363m to tackle climate change related issues.
🔗 https://t.co/ERvIEvDr2P
#CommonwealthForClimate
Benj aliendelea kujifunza kuhusu startup infrastructure ya Afrika pamoja na jinsi ya ku-leverage hizi accelerators na incubators.
Hapa alijifunza jinsi ya kuzungumza na investors, kutengeneza brand, fundraising pamoja na kufanya matured business decisions.
Lakini kikubwa zaidi alifunza jinsi ya kuanzisha na kukuza profitable tech company.
Ni mwanaune tajiri zaidi barani Afrika na ni mtu tajiri zaidi duniani wenye ngozi nyeusi —Aliko Dangote.
Aliwahi kusema kwamba alinunua ndege yake binafsi ya kwanza akiwa na umri wa miaka 24.
Soma Zaidi:👇👇