Kwa yeyote amjuae huyu mama au ana mawasiliano yake au watu wa karibu wanaoweza kumpata naomba utusaidie. Mtoto wake aliuawa October 29, mama alihudhuria graduation ya mtoto na hiyo picha. Wapo wanaopendezwa kumjulia hali na kusaidia na kuwa wanae wapya. Tafadhali Retweet ๐๐ฝ
UEFA CHAMPIONS LEAGUE PREDICTIONS:
Atletico Madrid ๐ช๐ธ 1-2 ๐ช๐ธ Barรงa
Liverpool ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 0-2 ๐ซ๐ท PSG
Bayern Munich ๐ฉ๐ช 1-3 ๐ช๐ธ Real Madrid
Arsenal ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 0-2 ๐ต๐น Sporting Lisbonne
Samia Suluhu atashinda kwa zaidi ya 83%. CHADEMA itaendelea kuzama zaidi katika mifarakano ya kimaslahi. ACT Wazalendo bado itasinyaa katika siasa za Bara. Vyama vya siasa vipya vitaanzishwa. Mbio za Urais 2030 ndani ya CCM zitaleta siasa mpya, zenye mengi ya kushangaza na mikakati ya aina yake kuanzia tarehe 1 Novemba 2025 hadi tarehe 30 Julai 2030.
#TajiriLaKihaya
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.
Nitatoa Zawadi ya 1m.
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.
Unachotakiwa kufanya niambie hio
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Comment au Quote hii Post Tu!
Tuna siku 10.
Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana!
Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!
Nitaitumia kwenye kukuza mtaji wangu wa kuuza Mafuta Petrol huku kijijini kwenye Kambi za Wavuvi, ambapo kwa hicho kiasi nitaongezea 90400 Kupata Lita 200 kwa bei ya kulangua Sumbawanga mjini ni 2952/Ltr. Ambapo mafuta hayo kijijini nitauza 3800/Ltr.
0767391612 Lameck Mwankaila
#TajiriLaKihaya
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.
Nitatoa Zawadi ya 1m.
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.
Unachotakiwa kufanya niambie hio
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Comment au Quote hii Post Tu!
Tuna siku 10.
Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana!
Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!
The media cannot and must not separate itself from the destiny of truth. Transparency of sources and ownership, accountability, quality, clarity, and objectivity are the keys to truly opening citizens' rights for all peoples.