usiogope wakiondoka ........ Ipo siku watakuja tena kwako Wakidai kua wametoka mbali na wewe ๐____โฐ_____๐_____ SUBRA____๐ง๐ฝโโ๏ธ๐ฟ๐๐ฝ
Kufanikiwa mapema kusikufanye uone Wasiofanikiwa ni wazembe,
Watu wanapambana na wanapata hela, ila sio kwa kiwango unachotaka wewe, wanapata kwa kiwango Anachopenda Mungu, Kila Mtu anawakati wake wa kufanikiwa.