@Bensonb24@TruthWatchDogTZ Sina hakika kuhus china na Vietnam japo mm nina iPhone 11 plain ya Uk na 17 pro. 11 plain nimeunga eSIM na hii 17pro ni eSIM
Mbao za Mtiki Safi ๐ณ๐ฅ
Imara kwa fanicha, milango na interior finishing.
โ 2ร8 ft 8 โ Tsh 75,000
โ 2ร6 ft 8 โ Tsh 55,000
Punguzo kwa oda kubwa.
๐ฒ WhatsApp: 0670989862
#MbaoZaMtiki#Fanicha#Timber
Asanteni Katoro, Taarifa ya mchango wenu kwa ajili ya kueneza injili ya Katiba Mpya na Free Tundu Lissu ni kama inavyoonekana, Asanteni tena na tena.
Tuendelee kukichangia chama chetu,kupitia namba 0744 446969 Jina Chadema HQ
iPhone 12 Pro
STORAGE 128GB
BH 88%
Tsh 650,000/=
Mikoani tunatuma malipo baada ya kupokea
Top up allowed โ
โ๏ธ 0759005505
๐ Kariakoo Mataa ya uhuru na msimbazi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimesikitishwa na Tume ya Uchunguzi wa Ghasia za Oktoba 2025 kutozungumzia kushikiliwa kwa Tundu Lissu.
DAMURU apatikane.
Suala la utekaji na upotezaji wa watu limekuwa doa zito katika jamii, likiacha hofu, majonzi na maswali yasiyo na majibu.
Watu wanaotekwa au kupotea mara nyingi ni wale wasio na hatia, huku familia zao zikibaki katika hali ya sintofahamu na maumivu yasiyopimika.
Kinachoongeza uzito wa tatizo hili ni pale ambapo wale waliokabidhiwa jukumu la kulinda raia wanashindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo na wakihojiwa hutoa maelezo yenye dhihaka.
Inapotokea kwamba vyombo vinavyopaswa kuhakikisha usalama vinageuka kuwa dhaifu, au vinahusishwa moja kwa moja au kwa uzembe na vitendo hivyo, basi hali inakuwa hatari zaidi.
Kukosekana kwa uwajibikaji kunafungua mlango wa mazoea mabaya, ambapo utekaji na mauaji vinaweza kuonekana kama jambo la kawaida lisilo na madhara makubwa kwa wahusika. Hapo ndipo imani ya wananchi kwa mifumo ya ulinzi na sheria huanza kuyeyuka.
Ukiona kwamba anayepaswa kumaliza tatizo anashindwa kulimaliza, basi kuna dalili kuwa chanzo cha tatizo si kile kinachoonekana juu juu. Inaashiria uwepo wa mizizi iliyojificha iwe ni uzembe, maslahi binafsi, au mfumo uliooza.
Katika hali kama hii, suluhisho halipo tu katika kushughulikia matukio ya utekaji, bali katika kubadili au kuondoa kabisa mfumo unaoruhusu vitendo hivyo kuendelea.
Hivyo, wito ni wa wazi na wenye uzito: haki lazima itendeke bila upendeleo. Ikiwa kuna mtu anayehusishwa na vitendo hivi, kama DAMARU, basi arejeshwe mbele ya jamii na Familia yake.
Bila hatua thabiti na za dhati, kivuli cha utekaji na upotezaji wa watu kitaendelea kuitanda jamii kwa muda mrefu zaidi.
HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI Vitaliponya Taifa.
BAK MWABUKUSI.
Ilikuwa wakati mzuri sana kukutana na vijana wenzetu wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam tukijadili mustakabali wetu na kupata mwanga wa kiuongozi kutoka kwa viongozi wakuu wa chama chetu