@privaldinho Uholnzi ilikuwa timu ya kifala
Thibaut na kdb hawaongei
Hazard na trossard hawaongei
Trossard na lukaku walikuwa hawaongei
Lakini wanacheza wote
@TriciaAbou Kuna mwanangu alienda Japan last year alitumia 14M cost kapata kibali cha kuishi na kazi ananiambia hela yake imerudi na ana make alot lakini anasema standard ya maisha ndio inayomfanya asijutie