Angalia mchezaji namba 4 amemzidi kila mchezaji isipokuwa yule wa juu na huyo mchezaji wa juu ndio last player yaani amechukua nafasi ya KIPA kwenye offside huyo haesabiwi kwakuwa amechukua nafasi ya KIPA, offside inapimwa kwa SECOND LAST PLAYER wa opponents team.
#TajiriLaKihaya
FIFA na USA kama hawakua wanaitaka IRAN world Cupโฆ bora wangesema tu!
Wameibiwa Goli la Wazi kabisaaaโฆ.
Yaani wanamchukua mchezaji wa kati ilhali yule wa pembeni wamemkaushia!
Sasa umuhimu wa VAR ni nn๐ ๐??
@Eng_Matarra Uchumi hauko hivyo,thaman halis ya vitu haipimw hivyo,bidhaa utakayonunua Tz Kwa Tshs 100m Zambia utanunua Kwa 685k,hivyo hivyo kwenye matumiz yote,ili upate hiyo 685k Zambia itabid utumie nguvu na mda ule ule ungetumia Tz kupata Tshs 100m,hzo ni namba tu uhalisia ni uleule
@Thereal_taivina Sizani kama kulikuwa na haja ya matusi makubwa hivyo Linda heshima yako kaka si Kila mtu lazima umjibu, Kuna watu tunakuamin na kukueshimu tunakutolea mifano mizuri, cool down brother.
@Sativa255 Wao wako sahihi, wanatumia mapato yao ya ndani kwenye suala la afya, hakuna bajeti inayotoka serikali ya TZ kwenda zanzibar kwenye swala la afya, kwa akili ya kawaida tu huwezi kusema ukatibiwe wakati wew huchangii chochote, tukubali tu ukweli
@bonifacejoseph_ Watu wengi ni kama mazuzu mnapenda kuzungumza vitu ambavyo hamvijui, Zanzibar kwenye upande wa Afya wanajitegemea, unataka kwenye bajeti yao wawatibu na watu wa tanganyika bila kuchangia?, hiyo ni akili au matope, wazanzibar wanachangia kwetu lakin sis hatuchangii kwao.