Kwa yeyote amjuae huyu mama au ana mawasiliano yake au watu wa karibu wanaoweza kumpata naomba utusaidie. Mtoto wake aliuawa October 29, mama alihudhuria graduation ya mtoto na hiyo picha. Wapo wanaopendezwa kumjulia hali na kusaidia na kuwa wanae wapya. Tafadhali Retweet ๐๐ฝ
GEN Z, Post hii naomba muikumbuke milele hata kama kesho sitakuwepo muishi nayo.
TUSHATOKA kwenye siasa za kulambana miguuโsiasa za kusubili vyama vya upinzani vitoe matamko hizo siasa tushaziacha 2025.
Kama tuliweza kuandamana #MO29 bila mchango wa chama chochote cha siasa inamaanisha hakuna KITU TUTATAKA kwenye hii nchi tutakikosa TUKIAMUA.
Siasa hizi zetu GEN Z tumia LUGHA Yeyote ile kuondoa sumu mwilini mwako, unapoona unastahili KUTUKANA kwa usenge wanaofanya basi fanya hivyo bila kuogopa usenge.
Zile siasa za kufuata PROTOCAL za kisenge ndio zimefikisha taifa hapa. Msikubali kuendeshwa na WANASIASA wasenge, tembeeni na wanasiasa wanaoongea LUGHA MOJA NA NYIE.
TUKUTANE AFCON 2027.
"Chadema, chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupambaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania."
Mhe. makam mwenyekiti John Heche
M4C
Repost 780
Kwa wapenzi wa Chadema Tanzania nzima , huu ni wakati wa kuonyesha umoja wetu
Hali tuliyokuww nayo wote tunaijua
Kama mfumo umekufanya uote hii twit Tafadhali ritwit ifike mbali
Repost 990