Mwanaume.
1. Jua unataka nini (Purpose)
2. Weka mbele vipaumbele vyako zaidi ya chochote.
3. Usitamani maisha ambayo haujayatengeneza.
4. Tumia pesa kujijenga na sio kujionesha (Being wealthy)
5. Jifunze kujitawala, Mwanaume asiyeweza kutawala tamaa, hisia na muda wake, atatawaliwa na dunia.
Be a MAN.
Young kings, Hakuna haja ya kukimbizana na makelele, tafuteni amani. Amkeni mapema, kunyweni chai taratibu, na ruhusuni machweo ya jua yawafundishe utulivu.
Safiri, someni vitabu, ponyeni majeraha, na msiogope kuwa peke yenu, huko ndiko mnakopata kuzifahamu nafsi zenu za kweli.
Chagueni amani kuliko umaarufu, kina kuliko drama.
Maisha matulivu ni maisha tajiri. Kuweni wema, simameni imara, na kamwe msijipoteze mkiwa mnajaribu kuwavutia watu wa dunia.
Tukumbushane kidogo.
Elimu ni ujuzi wowote wenye manufaa kwa mtu husika na jamii iliomzunguka
Elimu hupatikana popote pawe rasmi (taasisi za elimu) au pasiwe rasmi
Na upopata elimu ni wajibu wako kuifanyia kazi. Kila aliepata elimu ni msomi.
Tukiangalia kwa angle hiyo wasomi ni wengi sama kwenye jamii yetu.
Umepata elimu ya ufundi magari (garage) wewe ni msomi
Umepata elimu ya kuendesha gari, bodaboda. Bajaji we ni msomi
Umepata degree ya banking and finance we ni msomi pia
Wasomi wenzangu tuzitumie elimu zetu kwa njia sahihi 🙏🙏🙏
🚨 Dear Gentlemen;-
✔️ Usimpige mwanamke ili awe anakuogopa bali treat her kimamlaka ahofie kukupoteza
✔️ Hakikisha hana kiburi kwako, usitii Sheria zake, vunja na pima reactions zake.
✔️ Ukianza kuhofia kumpoteza na akajua umekaribisha kusalitiwa.
✔️ Kosa la kwanza hilo hilo act kiume, toa warning kali wala usimchekee
✔️ Akikujaribu akidhani utakuogopa kukuacha, simamia msuli muache immediately
✔️ Mwanamke anayekupenda hawezi kuchati wakati unaongea, take it.