@rastaclaaaat I work in a very diversified office, watu wana accents, watu wanaongea broken English, watu wanastruggle kumake a point cause English is not their first language hakuna hata siku mtu amemcheka mtu, we understand, its a language you learn huwezi kua perfect nayo.
@rastaclaaaat Tbh! Diamond hakua tatizo? Wewe ulimuelewa yule kaka alivyoanza kuongea? Haijawahi kukutokea a pure english speaking person with an accent aongee na usiskie vizuri. All these don’t matter kwa wenzetu ni sisi waafrika( WaTz) tunapenda kushushua vya kwetu.
@definetlyDove Yaani mwanaume kabisa eti kaja kabisa tweet yake inaulizia mdada amefind love? Sasa kwani tunatakiwa kulala na kushinda X? People have a life.