TANGAZO MAALUM!!!
Serikali kupitia wizara ya usalama wa ndani hii leo imeweza kutupilia mbali marufuku ilowekwa ya kukataza mikusanyiko ya wananchi hadharani ama pia sebuleni. Hii ina maana kuwa wananchi wanayo idhini ya kujiunga na wenzao hapo sebuleni kesho alfajiri ngware.