@KandileU@ndembo255 "lengo la simba day ni kutupatia fedha" Dalali, Mwenyekiti aliyeanzisha simba day
"simba inanipa hasara" mo dewji
"shida yetu yetu sio hela" kolo kutoka Nanjilinji
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@king_hemperion@JMariotz@Rungekuta69 Kupata hasara maana yake hampi faida ๐. Hivi shuleni mlienda kusoma nini huko kwa upeo huu finyu wa uelewa mlionao? ๐คฃ