Huyu jamaa anaitwa Mangi Dominick yuko dar nimesoma nae Mpwapwa secondary,kakumbwa na tatizo la ini anatakiwa kwenda India,hana kazi, mheshimiwaa @ummymwalimu ,@MwanaFA@ahmedsalimasas ,@moodewji mshikeni mkono aokoe maisha yake
Kwa niaba ya wanaume wote,nipende kuomba udhulu kwa wanawake zetu kwamba kuanzi leo tutakuwa haturudi home siku zingine na kulala vibanda umiza kwa heshima ya kombe letu la dunia.. Ahsanten
Moja ya kitu kinaninyima usingizi recently ni hili swala la wanaharakati kuwa wanalipwa!! (Kama ni kweli)🤔
Hizo taasisi au watu binafsi wanaolipa wanaharakati, huwa wanatazama vigezo gani kukulipa?
Influence? au Numbers (Followers)
au uwezo wa kuongea na kuandika au engagement ya social media au nini?
Binafsi nimeanza hii course ya harakati tokea siku namaliza form six na kutoa wimbo wangu wa kwanza Tanzania (2007) nikiwa very young!
Hadi leo nina Teremsha bunduki 2026!
Miaka 19 kwenye hizi harakati
NA SIJAWAHI KUPEWA HATA SHING 10 TOKA KWENYE HIZO TAASISI!!
WALA KULIPWA NA MTU BINAFSI ILI NIFANYE HIKI NINACHOKIFANYA!!
Na kuna muda unakuwa na uhitaji haswa, tena sometimes ni uhitaji wa kufanya projects hizi hizi za kusaidia hizi harakati….. you just end up using your own pocket money!!
Kwenye hizi harakati nakutana na challenge nyingi, nakosa opportunities na michongo kwasababu naonekana niko against na gavoo na kuna muda napoteza hata kidogo nilichobakiza!!
Nabaki empty hadi familia inakwambia si utemane na hizo mbanga……nawajibu I WAS BORN TO DO THIS!!
Ni kama roho/nafsi inakataa ku-give up!!
Tunafanya haya kwa passion,
kuna a driving force tu inatusukuma kutetea, kukemea, kushauri na kupaza sauti tunapoona haki inakosekana, maendeleo hakuna, rushwa na ufisadi kwa viongozi vinakithiri, umasikini unazidi kwetu sisi raia, uongozi na utawala mbovu, shida za ajira na miundo mbinu, watu kutekwa, kufungwa na kuuliwa bila hatia na kucreate awareness kwa raia kuhusu issue za kisiasa na kijamii etc.
Nikisikia mtu anasema kuyafanya hayo ni unalipwa…..nawaza nakosa majibu!!
Wanatumia vigezo gani kukulipa?
Hebu mtu anieleweshe pengine napishanaga na gari la mshahara!!
Followers ninao (1.3M) influence pia si haba nikitoa miwa inapokelewa mtaani!! MBONA MIMI SILIPWI?
Nways tusiache hizi harakati hata kama hazitupi pesa kwa sasa, faida yake mbeleni ni kubwa zaidi kwa nchi nzima na vizazi vijavyo!!
Kama nimeandika kwa hisia sana ee?😁
Leo nimekumbuka huyu binti alitaka kupindua nchi yangu, angefanikiwa kupindua maana yake tungekuwa mateka wake, ni nani aliwaambia Polisi kuwa mimi sitaki kuwa Mateka wa huyu, 🤣
Aje anipindue mimi niwe mateka wake milele,
Msipuuze hizi odds wananguu
ODDS : 700
Option: new option
Site ::AFRO PARI
Code ya mkeka ::G7GH9
Kama hauna AFRO-PARI👇🏿👇🏿
Jisajili:
https://t.co/fsOPXxaShx
PROMOCODE andika: BABAKIZIBO
APP LINK: https://t.co/7MaEnhgwWq
Maswali yote kuhusu AFRO-PARI
whatsapp:0762088880
BODA BODA wa Mbweni heshima yenu wanangu-wamewafukuzia watekaji mpaka wanaimgia nao kwenye kambi ya usalama wa taifa.
Baada ya kuona mnaweza kuwafikia wakaamua kusimamisha gari na wote wakatoka na bunduki kuanza kuwashambulia.
Wakati wote wanawashambulia na nyie mnakimbia huku nyuma mliokoa maisha ya DJUMBE.
MUNGU AWABARIKI WANANGU NA KAZI ZENU NA FAMILIA ZENU.🙏🏾
#TajiriLaKihaya
Wewe Kijana ulieajiriwa;
Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani.
Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni…
fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi,
Hawawezi Rithi kazi yako.
Kujifunza hakuishi…
MUHINDI HATANISAHAU KWENYE VITABU VYAKE🔥
Code Betpawa-PUQYHOX
Code Sportybet-57E59G
Mechi zinaanza Kesho mpaka jumapil
Repost mitaa ikapate huu utajiri,hili treni likichanika basi nipigwe mawe nchi nzima
Msinisahau kwenye ufalme wenu tukutane siku ya jumapili🙏
0676971122
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa DSM BAKWATA.
Kwanini viongozi wa dini wanakwepa kudai UKWELI, HAKI na UWAJIBIKAJI? Haya yanaweza kufanywa bila meza ya maridhiano.
Kwanini hawataki kuzungumza MSAMAHA? Aliyefiwa, au kuumizwa pamoja na ndugu zao msamaha unaleta faraja.
Mengine yawezekana tu.
Leo mzee sijamwamkia asubuhi nilimsalimia "Vipi bro" kanikata jicho kwa ukali akauliza nani kaka ako nikamjibu "Mimi na wewe ni baba mmoja(Mungu)"..Naona kanitolea nguo zangu sote itakuwa anataka akafue nguo za mdogo wake😨