@MkenyaMzi@Safaricom_Care Jambo ndugu yangu, mkurugenzi @MkenyaMzi aki sasa mimi niko na shida moja hatari sana hii pande. Sasa mimi ilikua inaomba kama unawesa kua na simu yenye hautumii unisaidie jamani ili iniweze kunisaidia kupost kontent hii X alafu zaidi niwese kufollow wewe kila siku. Asante
@polo_kimanii Saame btw. Sipendi kabisa kutumia hiyo kitu wasungu wanaita Helcofta at all. Okay, yes naelewa sina pesa lakini mimi nawaaambi muavoid kabisa
@FabrizioRomano I'm not a prophet but just wait and see how that Portugal national team will blossom without him. Don't get it twisted, CR7 is the GOAT but I guess his time is over
@sheee_raw1 Siet! Sasa hii ni ile taip ya kuongea kingeresa saa yote aki Mungu wangu😭mimi nawaambia kama kwako unatumia hii sufuria ya jua kali kupika nayo sembe na kuchemusha maji kwa gas, hii hata usijaribu kwa maana utajidisapoint namna mbaya saidi. Hii ni ile kabila expensive sana aki
@edwinsifuna Boss wacha sasa sisi iambie wewe ukweli, hii kura nayo utapata na hiyo kiti ya Rais pia utapata kwanza subuhi na mapema. Swali sasa iko hapa Edwin, uko sure wewe haitakua greedy kama ndugu yako aki? Juu sahii sisi kama wakenya aki tuko na wasiwasi sana.
@MkenyaMzi Siet! Lakini sasa itabidi utuambie ni nini wewe hupea hii wanawake juu hii hapana nomol hata kidogo jamani. Kitu inauma sana saidi hata ni vile hii jamaa haifichi wale wengine. Lakini wacha kwanza turafute hii mukuchu buana juu wueh
Sasa wacha niwaambie vijana, mwanamke kama hii ni ya kuavoid kabisa! Jua sii wewe pekeyako ndio unasugua akiz. Sasa kama for example wewe ukipeleka msichana kama hii wewe kama kijana utaambia wasasi wako namna gani? Saa hiyo ujue manyungurus yake imejaa hii timeline. Haaya
@s1ah_wanja Kuulisa mko? Inamaanisha hakuna mnunuzi leo ama namna gani Bi Siah. Sasa mimi naulisaaje, ulisema unanionjesha Sulumbulu lini aki dia? Hata wewe unajua mimi nataka kuonja hii yako sana though najua ni baridi namna ya ile fridge ya mortuary lakini hiyo mimi haitanusumbua🥲 Asante
@SomoinaKapeen Shida yako somoina ni kujichanganya. Kama umelipwa na serikali, wewe kula pesa yako kwa amani na upanguse mdomo namna ya umbwa ikikula mufupa. Wewe hata ukitaka kulala na wao hiyo sasa ni shida yako tafazali. Asante na uwache kuseek relevance
@MkenyaMzi Sasa wacha nikuambie kitu mzee, hii ya kumeesha nywele Nairobi ni hatari sana buana. Naskia iko mahali ingine wanang'oa nywele kwa manyungrus alafu ati ndio wanakupanda kwa kichwa namna ya mchele pale mwea. Aki kaa rada sana
@polo_kimanii Lakini kimani mimi naulisaaje, apart from hiyo kas ya kuweka cctv, ni kas gani ingine wewe unafanya ya kukupea hiyo pesa yote jamani. Ndio mujue hii jamaa ni NIS, mnafaa kujiulisa maswali mingi sana namna hii, je mafuta ya iyo prado inatoka wapi, rent, fee ya kipii? Haaaya
@MillicentOmanga After hii mama kutumia ozempic kupungusa elianto, sahii amekua type yangu kabisa. Mimi naulisa tu nawesa fikia yeye namna gani jameni. Kazi ya kua bodgad yake hata nitashukuru kabisa manake huko kwetu kilgoris hao sasa ndio kusema kwa kijiji. Haya wacha mimi nijiwekelee. Asante
@Missmurima Lakini kusema tu ukweli vijana wenzangu, huyu hakuna kitu itafanya useme yeye si taip yako aki, labda sasa tuseme ikue hii jamaa inaitwa mkenya ikue imepea yeye ukimwi juu ya vile hawesi ondokea maku. Kwa sasa tuzodishe maombi juu ya nchi yetu 😌