*Mahakama za Kenya* : Jaji Chacha Mwita amuamuru IG wa Polisi Kanja na DPP wa Kenya wamlete Kijana aliyetekwa awe hai au amekufa.
Sasa nenda nchi ya Wagerasi kajaribu hii huone cha mtema kuni
Maandamano Ubalozi wa Tanzania nchini:
Wanaharakati wawasilisha waraka kwenye Ubalozi
Wanalalamikia kudhalilishwa kwa Wakenya Tanzania
Hii ni baada ya Karua, Mutunga na wengine kukamatwa
#SemaNaCitizen@MKapombe
Duh! Kuna muda hata mjinga hawezi kujiona kama mjinga mpaka kipindi ataonja matokeo ya ujinga wake,,,hawa ndio wamepewa dhamana ya kukijenga chama wanatamka maneno ya kukibomoa chama daaaah!