Lete Mabadiriko Chanya Sehemu ulipo (LeMaChU)
Jukwaa Huru La Kidigitali , Limelenga kuleta Mabadiriko Chanya katika Masuala Ya Ukatili Wa Kinjisa , Tupe Taarifa
๐Asante KWA Heshima Uliyo Nipa, Kiongozi WA Mbio Za MWENGE Kitaifa 2025
Nimepata Neema YA KUWA MKUFUNZI WA Kongamano la VIJANA NA kufanikiwa Kuwafundisha Mada Mbalimbali Ikiwa ni PAMOJA NA UZALENDO, UONGOZI
๐Nidhamu Heshima NA Kujituma
Leo nimeongoza NA Kuratibu KONGAMANO la VIJANA MBULU , KATIKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU BARIKI VIONGOZI WETU
@SuluhuSamia@Dr_DGwajima@tanpol
GOD is Good all The Time ..
Namshukuru MUNGU kwa Ushindi Huu Mkubwa nimepata Tuzo Yangu Nilio shida africa kusini as The Best Social worker of The year Africa "m Tanzania " pekee Kada Ya Ustawi Kushinda Tuzo International , Hii Ni heshima Kwa Taifa Langu Lakini , Heshima kwa raisi wangu @SuluhuSamia , Heshima kwa wizara yangu @maendeleoyajami Pamoja Na Waziri mwenye dhamana wa wizara nayo hudumia @Dr_DGwajima lakini Heshima kwa MANYARA NA MBULU KIUJUMLA
Its A New experience Kwangu
Nakumbuka Tarehe 16 May nilipokea email hii โ๐ป๐๐ป
Dear Mr Thomas Simbeye,
I am writing to inform you that your nomination for the Award of Social Worker of the Year has been successful.
Congratulations from us!
The award will be announced on 25 May online during African Day Indaba. Please let us know if you are able to (1) attend (2) give a short acceptance speech.
"Hii email ilinipa faraja sana kuonesha kila nachokifanya kina thaminiwa sio Ndani ya inchi yetu , hata njee wana Thamini , asante sana
Nitaendeleaaa Kujitoa kwaajili ya Watu
Thank You AFRICA SOCIAL WORK Network
for this recognition
Jamani Niwatie moyo Inawezekana Hizii Tuzo Tukazileta nyumban Nyingi sana
NIMEKUTANA NA MWANAZUONI MWENZANGU KWENYE MALEZI SUMMIT
KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM BACK IN DAYS (Masters class)
SAIVI NI MUHADHIRI CHUONI TENGERU
TUNAJIVUNIA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM @UdsmOfficial@udsm_alumni
@Dr_DGwajima @Jay_Electrician @LeMaChUtz@smaujata_tz Asante Mama kwa kwa muongozo wako... jamni ndugu zangu @LeMaChUtz na @smaujata_tz naombeni mnipe muongozo, Mama amenileta kwenu naomba nanyi mnipokee... Haya nambieni sasa naanzia wapi?
TAREHE 15 MEI 2025 | SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA โ MKOA WA MOROGORO
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia, uongozi wa Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na wadau wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (MMMAM) wanaratibu tukio maalum litakalojumuisha:
Sheria na miongozo ya kulinda wazee ni pamoja na:
1. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (Ibara ya 11) inatambua wajibu wa serikali kulinda makundi maalum kama vile wazee.
2. Sheria ya Huduma za Ustawi wa Jamii Na. 21 ya mwaka 2002, inayomtambua mzee