@Kiganyi_ أليس الله بأحكام الحاكمين؟
Aya “Je, Mwenyezi Mungu si ndiye Hakimu bora wa mahakimu?” imo mwishoni mwa Suratul Tiin (aya ya 8). Ni hitimisho linalomkumbusha msomaji kwamba Mwenyezi Mungu ndiye hakimu wa haki ambaye anahukumu kwa uadilifu na hamdhulumu yeyote.
@SuluhuSamia Mama weka no uokote hata Mkono wa Eid kutoka kwa mwanao hapa... Maana umenitoa jalalani, Serikali yako imenipa Ajira sasa ni Alhamdulillah ♥️
@Life_of_vike Yani we matako kweli nilikiwa nachemsha maziwa umesbabisha hadi yamemwagika me nipo busy na story yako af hujafanya chochote we kweli ni mkundu.
@fbuyobe Yaani unatuona sisi kama matako yako eti? Unatutungia story ndeefu ambayo haina kichwa wala Miguu..
Hujajibu why umerudi Bongo wakati TZ ulikuwa blacklisted?
Waliokutuhumu wameweka clear bila konakona ila wewe unaweka chenga nyiingi za nini Bwana kipenyo? Wewe ni Infomer