Journalist /
political Analyst/
Lovin Democracy
#luckboi#GlazersOut.
Stop channeling your Probs to #USA your Genesis of your Probs Bruh
@SimbaScTz #ManUnited
Hivi kwanini wanachezea sana fedha zetu za umma. Sasa hivi wako kwenye vikao na makatibu wa kata wa mikoa.Zimenunulia pili piki 900 kwa ajili yao kwenye mkoa wa mmoja kusini. Hizi ni shilling billion 2 na million 700 hizi fedha zingekopeshwa vijana wangapi wangefaidika.