Home
Language
English
Türkçe
Bahasa Indonesia
About
Privacy Policy
Terms of Service
Pricing
Sign In
Download All
Share
Lenzi Show
@lenzi_show
Tunakuletea kipindi bomba cha habari za uchunguzi kinachoandaliwa na waandishi mahiri kabisa hapa Tanzania. Tarajia mambo makubwa.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2016
24
Following
56
Followers
31
Posts
lenzi_show
retweeted
MwanzoTvPlus
@MwanzoTvPlus
almost 9 years ago
Kama utakua mbali na runinga yako, usihofu hutapitwa na kipindi maalum
@NjooTuongee
. Kamata link --> https://t.co/V0qopTrCxl. Bado nusu saa!
lenzi_show
retweeted
Twaweza - ni sisi
@Twaweza_NiSisi
almost 9 years ago
62.3% ya wananchi hutumia mkaa kwa matumizi ya nyumbani. Je, matumizi haya yana madhara gani katika mazingira?
#NjooTuongee
@JMakamba
lenzi_show
retweeted
#Kilimanjaro
@kili_mas
over 9 years ago
Appalling n unacceptable kabisa https://t.co/ftz3uJqqVG
lenzi_show
retweeted
Maria Sarungi Tsehai
@MariaSTsehai
over 9 years ago
This still haunts me 😢 .. the children are really traumatized.. keeping them in tight security dorms is not long term solution https://t.co/JhebOQOTq1
Who to follow
NgoshaTips
@wambegu_oficial
register on linebet Promocode:MASALA2 use Promocode to receive 100% deposit bonus
Young & Alive Initiative
@youngandalivetz
Young And Alive Initiative is a registered Womens’ Rights Youth-led Non-Governmental Organization based in Tanzania.
MiHCM
@MiHCMHQ
Transform Legacy HR into Digital with MiHCM
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Swali? Hebu tusikie wataalam https://t.co/kBabKQHJH9
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Kuwaweka watu wenye ulemavu wa ngozi katika nyumba zenye uangalizi maalum kunasaidia?
lenzi_show's tweet video.
lenzi_show
retweeted
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Wazazi wengi bado wanachukulia kuwa na mtoto mlemavu wa ngozi kama mkosi fulani. Tuambie nini kifanyike?
lenzi_show's tweet video.
lenzi_show
retweeted
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
DATA: Unajua idadi ya watu wenye ulemavu wa ngozi waliouawa hivi karibuni? Jinsia/ umri gani ndio waathirika zaidi? Mkoa gani unaongoza?
lenzi_show's tweet video.
lenzi_show
retweeted
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Mwananchi: Ukimpenda binadamu mwenzako kamwe hutafikiria kumdhuru mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kisa unatafuta utajiri.
lenzi_show
retweeted
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Wenye ualbino hawapaswi kuishi kwa hofu katika kijiji chao, mtaa wao au katika nchi yao. Jamii nzima, tunawajibika kuwalinda.
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Cc
@aeyakuze
@ALLYPOSSI
@BMatungwa
@Islam_Dar
@kabsjourno
@subinukta
@VickyNtetema1
https://t.co/7P9t7o7uGT
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Lenzi show iko hewani Mlimani TV jumatano saa 1 hadi 1.30 usiku. Marudio alhamisi saa 11.30 hadi 12 jioni, Jumamosi saa 8 - 8.30 mchana
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Lenzi show iko hewani Mlimani TV jumatano saa 1 hadi 1.30 usiku. Marudio alhamisi saa 11.30 hadi 12 jioni, Jumamosi saa 8 - 8.30 mchana
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Wenye ualbino hawapaswi kuishi kwa hofu katika kijiji chao, mtaa wao au katika nchi yao. Jamii nzima, tunawajibika kuwalinda.
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Kifungu cha 14 cha katiba ya Tanzania kinaelekeza kuwa kila mtu ana haki ya kuishi na kulindwa utu wake katika jamii kwa msingi ya kisheria.
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Kwa mtu una akili timamu, unawezaje kusaka utajiri kwa 'mganga' ambaye yeye mwenyewe yuko taabani kiuchumi?
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Km wazazi wote wawili wana vinasaba vya ualbino na wote hawaoneshi ualbino kuna uwezekano wa kupata mtoto albino kati ya mtoto 1 hadi 4.
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Wataalamu wanasema kinasaba cha ualbino ni pigimenti dhoofu ambayo haiwezi peke yake kuonesha ualbino mpaka mtu awe nazo mbili kwa pamoja.
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
PIMA BUSARA: Toka lini ulemavu wa mtu, kipara cha mtu, ngozi ama kingine kikawa sababu ya utajiri?
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
FAHAMU: Rangi ya ngozi ya mtu inategemea kiasi cha pigimenti za melanini kilichopo mwilini mwake.
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
Kwa Kiswahili mtu mwenye upungufu huo huitwa zeruzeru, lakini jina hilo lina unyanyapaa hivyo kutumiwa jina ‘albino’ (kilatini).
Lenzi Show
@lenzi_show
over 9 years ago
TAMBUA: Hali ya ualbino ni ya kurithi na hivyo inaweza kutoka kwa wazazi kwenda kwa watoto.
Last Seen Users on Sotwe
Swolecialist
Seen from
Canada
zebag
Seen from
France
Mitko Karizmov
𝐀𝐫𝐚𝐛𝐢𝐜 𝐭𝐞𝐞𝐧 🧕🏻
Seen from
Turkey
पुति चिकुवा केटो
Seen from
Qatar
احب الثاثينيه
Incest ❤️
Seen from
Mexico
daleaker😈
Seen from
Thailand
🔥Andamos Caliente🔥
แม่nok
Seen from
Thailand
Trends for you
1
GemRadar
Under 10K tweets
2
Milo
Under 10K tweets
3
Venezuela
Under 10K tweets
4
Good Sunday
Under 10K tweets
5
UNLV
Under 10K tweets
6
Lake America
Under 10K tweets
7
NC State
Under 10K tweets
8
Jackson Arnold
Under 10K tweets
9
CJ Bailey
Under 10K tweets
10
Memphis
Under 10K tweets
Most Popular Users
1
Elon Musk
@elonmusk
241.5M followers
2
Barack Obama
@barackobama
119M followers
3
Cristiano Ronaldo
@cristiano
113.9M followers
4
Donald J. Trump
@realdonaldtrump
111.8M followers
5
Narendra Modi
@narendramodi
107.2M followers
6
Rihanna
@rihanna
98.6M followers
7
NASA
@nasa
92.4M followers
8
Justin Bieber
@justinbieber
91.7M followers
9
KATY PERRY
@katyperry
89.7M followers
10
Taylor Swift
@taylorswift13
83.6M followers
11
Lady Gaga
@ladygaga
75.1M followers
12
Virat Kohli
@imvkohli
72.9M followers
13
Kim Kardashian
@kimkardashian
70.7M followers
14
YouTube
@youtube
68.8M followers
15
Neymar Jr
@neymarjr
65.9M followers
16
Bill Gates
@billgates
64.9M followers
17
Selena Gomez
@selenagomez
62.8M followers
18
The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers
19
CNN
@cnn
61.8M followers
20
X
@x
60.7M followers
Olivia
Online
✨
⭐
💫