UZI⛽️🔥 Uhusiano kati ya Filamu za Rocky na Creed 🎥🥊
1/ Sasa hivi tunazungumzia hadithi ya Creed, lakini je, unajua kwamba filamu hizi zina mizizi yao kwenye mfululizo maarufu wa Rocky? Hebu tuchambue uhusiano wao wa kipekee. 👇🏾
@MTOTOWAK Juzi nimemsafirisha mdogo wangu kwenda musoma jamaa wamemshusha kunasehemu inaitwa makutano tena usiku wanasema hayaendi musoma meanwhile kwenye system gari inaonyesha inaenda musoma. Kampuni mbovu sana sana
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍