HIVI HII FAMILIA MMEIONA KWELI?????😂😂😂😂😂
Nawashukuru sana ndugu zangu mmenipokea vizuri huko YOUTUBE, mbarikiwe sana. Mawe yanaendelea kuja mengi zaidi.
Endelea kusubscribe kwenye Channel yangu (laughs on leonardo) au bonyeza link kwenye BIO ikupeleke moja kwa moja
Happy New Year Guys 🎊🎈🎆
Introducing UNCUT — stories as they are.
No filters. No mercy.
Kitu Kipya Kikali, Uzungu Kidogo😂
Watch the full episode on YouTube Laughs on Leonardo.
Link in bio.
Nakumbuka kipindi cha Comedy Search 2021 nilifungua goli la chakula Sinza nikawa BABA NTILIE😂😂😂 nikamuajiri Asmah Jamida 🤣……….Kifupi maisha ni mapambano……….ukianza tu kuona wewe hustahili KUTESEKA basi soon unatinduliwa nanliu
Hivi ni mimi tu au ni kweli WASANII wengi hawajui kuandika😆😆😆……..yani mtu hajui wapi aache nafasi anakata neno katikati (Tuli enda Shuleni)😂😂 au anakosea kabisa linavyoandikwa (urithi/ulisi)