@meamswahili Kwamba Memphis Depay nae ni shabiki au anamapenzi na simba? msikalili kijana anamapenzi na tattoos kaona ajibless hiyo thats it hata asipokuepo kesho simba haimaanishi haitakua na maana hiyo tattoo
@SalimMamboleo@iboysean Shida ya mufti ilianza Feb 18 yeye akatangaza mwezi haujaonekana hivo watu waanze kufunga Feb19 sasa kama kenya Feb 17 waliona mwezi yeye akaenda tofauti na wenzie kuna interest kwenye hili jambo
@Rahim_Meghji@Mussa_Mdeve Ni kwann Tanzania walianza kufunga Feb 19 na sio 18 kama wengine? na ilihali mwezi ulionekana..ie kenya,uganda na kwingineko?
@rayasel94@anuskills3 2023 kwa maoni yako umesema huoni kama Ø anamzidi creativity El magnofico...2024 Unauliza kipi Bruno anafanya bora kuliko Ø na unajificha kwenye "Qn mark" huoni kabisa baada ya muda umejiridhisha kua Bruno hana cha kumzidi Ø na ukaleta mjadala hapa,!
@BiggieGJK@kangenwatertz@MariaSTsehai Sijasema competitive! nachomaanisha unaua viwanda vya ndani mfano. wale waliotaka kwenda kuchora twiga kwenye ndege nje na wakati hapa ndani inawezekana je nayo ilikua competition reasons?
Hapa ndani mnakila aina ya misitu kwann msitengeneze hizo furniture?
@kangenwatertz@MariaSTsehai Sema hili la Furniture msimsingizie TPA hapo mbaya wako ni TRA sababu hizo ni bidhaa ambazo zinaua masoko ya ndani kwahiyo uki import lazima ukutane na shoruba la kodi, misitu, fea, furmigation na matakataka kibao..em agiza contena la vifaa tiba then uje tena.