Piga *150*27# kupata huduma za Letsgo Mobile kokote pia jipatie mkopo kwa haraka kutumia whatsApp 0658481522/0756541004 au
kwa kupitia tovuti yetu๐๐พ
Pata mkopo wako wa biashara ili ukize biashara yako kutoka kila ya chini mpaka kufikia kiwango cha kati
Njoo tuzungumze tukuze biashara yako na malengo yatimie
Kwa maelezo zaidi piga
0222225000/ 0658555096
#mkopowabiashara#letsgoflexi#letsgofixe#lestgoallin1
Kwakutumua simu yako ya mkononi unamaliza kila kitu hapo hapo ulipo utalipia kingโamuzi chako wakati wowote
Nahii ni kwa vingโamuzi vyote vinavyo tumika nchini
Tunarahisisha maisha
Kwa maelezo zaidi piga
0222225000/ 0658555096
#letsgomobile#letsgofixed#letsgoflexi
Kesho huandaliwa leo sasa unasubiri nini fanya kesho yako kuwa bora zaidi bila stress wala mashaka ukiwa na #letsgofixedakaunti
Riba yake ni kubwa 13% kwa mwaka hapa lengo litatimia tuu
Tunaboresha maisha
0222225000/ 0658555096
#letsgofixedakaunti#letsgoflexi#improveslife
Hii ndio njia sahihi ya jinsi ya kujiunga na Weka akiba ukiwa na line yako ya Airtel
Letshego bank Tanzania ๐น๐ฟ
Tunaboresha maisha yako
Kwa maelezo zaidi piga huduma kwa wateja.
0222225000/ 0658555096
#timizaakiba#letsgofixedakaunti#letsgowakala#letshegobanktanzania
Kuweka akiba hukusaidia pale unapo pata dharula na hauna Pesa ya kutosha kumaliza tatizo lako
Weka akiba kupitia lini yako ya air tel na upate akiba mpaka 5% kwa mwezi
Kwa maelezo zaidi piga
0222225000/ 0658555096
#timizaakiba#letsgofixed#letsgoflexi#letsgoallin1
Tuko makini kuhakikisha tunakupa kile unacho stahili na kuyafanya maisha yako yawe bora zaidi na kufikisha malengo yako kusudiwa
Tunayaboresha maisha yako
Kwa maelezo zaidi piga huduma kwa wateja.
0222225000/ 0658555096
#kazikazi#letsgofixed#letsgoallin1#letsgoflexi
Kwetu wewe mteja ni muhimu karibu upate huduma za kifedha kwenye matawi yetu kika kona
Sisi tuko wazi leo tunaendekea kumuenzi Baba wa Taifa huku tukichapa kazi
Karibu Letshego bank Tanzania
#nyerereday#letsgo#kaributukuhudumie
Kwa maelezo zaidi
0222225000/ 0658555096
Hakuna kuwaza pale unapokuwa umeweka akiba yako na letsgo fixed akaunti maana unayoyataka yamefanikiwa
Hatuweki tuu fedha zako lakini pia tuna kupata riba ya hadi 13%
Letshego bank Tanzania ๐น๐ฟ
0222225000/ 0658555096
#letsgofixed#letsgoflexiakaunti#CustomerServiceWeek2020
Ukiwa na akaunti ya kikundi kunafaida kubwa ni pamoja na
Mikopo ya kikundi na mtu binafsi
Kadi ya atm na kitabu cha hundi
Riba ya hadi 10%
Letshego bank Tanzania ๐น๐ฟ
Tunarahisi maisha yako
0222225000/ 0658555096
#letsgoflexi#letsgofixed#watotoakaunti#customercareweek
We're delighted to be partnering with @letshegobanktz for the 2020 #FinancialWomenForum.
BOOK YOUR TABLE NOW.
To interact with top notch thought leader in panel discussion along with practical sessions.
Lets Network and building a community.
Contact us:+255 710 512 929
Mali bila daftari hupotea bila Habari haya sasa fanya hesabu zako
Halafu fungua Flexi akaunti na sisi tunaweka pesa zako ktk usalama na kukuza biashara yako
Tunaboresha maisha
Kwa maelezo zaidi
0222225000/ 0658555096
#letsgoflexiakaunti#letsgofixedakaunti#letsgowatoto
Hakuna haja ya mwanao kusononeka Eti kisa umeshindwa kumtimizia mahitaji yake
Sisi tukohapa kuhakikisha yote yana timia kwa mtoto wako funguwa Watoto akaunti kwa ajili ya kesho yake ๐น๐ฟ
Kwa maelezo zaidi
0222225000/ 0658555096
#watotoakaunti#letsgoflexi#letgofixedakaunti
Mapema tuu unamaliza kila kitu kwa kutumia LetsGo mobile popote pale utakapo kuwa na kwa miamala yote
.
Haina kukwama wala kufeli sisi tunakurahisishia maisha
.
Kwa maelezo zaidi piga huduma kwa wateja.
0222225000/ 0658555096
.
.
#letsgomobileapp#letsgomobile#letshegobanktz
Wewe kwetu ni boss na tunakujali nakupa kile unacho stahili kurahisisha ufanyaji wako wakazi pamoja na malipo na manunuzi
Letshego bank Tanzania ๐น๐ฟ
Tunarahisishamaisha
Maelezo zaidi piga
0222225000/ 0658555096
#letsgochequebook#letsgobanktz#letsgoallin1
Kazi yetu nikuhakikisha kuwa akiba yako iko salama nasi, hatuishii hapo tuna izidisha na kuikuza na malengo yako kutimia.
.
.
.
Kwa maelezo zaidi piga huduma kwa wateja.
0222225000/ 0658555096
#letsimprovelife
Hii inaitwa ushindwe wewe tuu sasa maana tunakuletea huduma karibu kabisa na wewe tena kwa urahisi kabisa na kwa uchaguzi wako
Inaitwa LETSHEGO ALL IN 1
Hii inakupatia
#letsgowakala#letsgomobile#letsgoumojacard#letsgomobileapp
Chaguo ni lako tuu sasa
0222225000/ 0658555096
UPO TAYARI!!!!
Sisi tupo tayari kuhakikisha tunakupa kilicho bora zaidi nakufanya maisha yako yawe bora na rahisi kabisa
LETSHEGO BANK TANZANIA
TUNABORESHA MAISHA
Tutakujuza mshituo wetu kwako punde
#tunaboreshamaisha#letshegobanktanzania
0222225000/ 0658555096