Bush encroaching sickle bush disliked by livestock keepers and rangeland managers is a preferred food for giraffes. Finding from our recently published research work, https://t.co/IGrKpZAScX.
@TZMsemajiMkuu Alichokiongea Angela Merkel ni fact. Wakati mwingine watanzania tunaamini kila inachokiongea serikali hakina mashiko, That's wrong. Uhuru wa kujieleza usiposimamiwa vizuri unalevya. Ni mtazamo wangu2
@kigogo2014 Mo anatakiwa aeleweke kama alivo zungumza kuongeza au kupunguza neno kwenye alichoongea ni kua mwingi wa akiri. Sizani kama tunahitaji watu wanao-behave abnormally.
@theSICARIO_255 @HKigwangalla Kila mtu yuko sawa kulingana na mtazamo wake. But kwa sasa tujikite zaidi kujadili maendeleo in a positive way. Kimsingi hatuhitaji kusikia kauli zenye kutuvunja moyo na badala yake zenye kutupa kiu na nguvu za kupiga hatua zaidi. Huo ni mtazamo wangu2!!
@MsigwaGerson Jamani kazi ya serikari siyo tu kutoa pesa ya kughalamia miradi. Kutafta wafadhiri, ku-mobilize fundraising activities pamoja na kusimamia miradi ni majukumu ya serikari. Kwa mtazamo huo msigwa hajakosea lolote but people mnapandikiza chuki kwenye hamna.
@MsigwaGerson Hv sisi katuloga nani???Jamani mtu asiye shukru katika jambo dogo hawezi kushukru kwa jambo lolote wenzetu wameondolewa adha ya dis- connectivity na sasa wanafanya shughuli zao za uchumi kwa morari majitu yanapuuza tu. Hongera JPM wataelewa2
@JMakamba Hongera waziri. We owe an obligation to protect our env at any cost. Niwashauri watanzania tuache tabia za mazoea zinazo ligalimu taifa kwa kuharibu ubora wa madhingira ya nchi yetu pendwa. Tubebe bidha zetu kwenye vikapu na vyombo vingine visivyo haribu madhingira na tutazoea2
@HKigwangalla Nakuelewa waziri. Watanzania wengi tunamatatizo makubwa ya kifkra maneno mengi kazi hatufanyi (sifuri). Guys no free lunch in tz, we're tanzanians & will die striving to build our motherland. Hapa kazi tu.