😁😁Tanzania ni masikini toka lini?! Haya mambo ya chanjo tuliambiwa ni vita vya kiuchumi ama?
Tulipokuwa tunasema haya MATAGA na praise team walitukebehi sana na walitoa matusi ya kila aina!. Haya sasa kiko wapi!? Muwe mnapenda kusikiliza haya mambo. We know better than YOU 😁
Pongezi kubwa kwa wachezaji wote pamoja na benchi la ufundi. Endelea kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu vijana wetu🇹🇿 Tuendeleze mshikamano wetu ili tufikie lengo letu la kuwa mabingwa wa Afrika, Insha’Allah! Safari inaendelea 🙏🏽