Katika Mahafali ya 52 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam,Mzee Celestine Karuhawe ambaye ni Mlemavu wa Macho(Asiyeona Kabisa) alitunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD in Education) ambao ameusomea kwa takribani Miaka 7. Mzee huyu anatupa funzo kuwa hakuna kinachoshindikana chini ya Jua.
@patric_ph Na Huu Ndio Ukweli Mchungu, Simba Haina Kikosi Strong Kabisa, Simba Wachezaji Wake Wengi Hawajitumi, Simba Ina Wachezaji Wa Kawaida Wengi.
Hupati Mashaka kabisa kuijua Timu, Yanga wamecheza Mpira Mwingi, Sub za Yanga Wachezaji wanaoingia Hadi Unaogopa. Lawama Hii Ni Kwa Uongozi.
@MichaelMwebe Yes Brother I Agree, But Ukweli Pia Usemwe Kuwa Simba ina Wachezaji Wengi Wa Kawaida, Utakubaliana nami Kuwa pamoja na mambo yote Yanga walikuwa na Spirit ya Hali Ya Juu Sana Leo
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inautangazia Umma kuwa Ripoti ya Takwimu za Sekta ya Mawasiliano kwa kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa fedha 2024/2025 (Julai - Septemba) imetoka. Ripoti hii inapatikana kwenye tovuti ya TCRA kupitiaย https://t.co/bgz770ZZrT
Nimekuwa naulizwa kuhusu shinikizo la damu , Leo tupate elimu kwenye makala niliyofanya siku ya Kimataifa ya SHINIKIZO LA DAMU. Katika kujua ukubwa wa hili tatizo , katika kila wanawake watano, Mwanamke mmoja ana shinikizo la damu. Na kila kina baba wanne mmoja ana tatizo la shinikizo la damu. Na kiujumla tunapenda kila mwananchi ajue namba zake 5
i) Ajue namba za presha yake zipo ngapi ?
ii) Ajue uzito wake upo ngapi kwa kutumia Body Mass
index (BMI)?
iii) Ajue kama ana kisukari au la?
iv) Ajue saizi ya kiuno chake?
v) Na mafuta (Cholesterol)?
Chimbuko la yote mema ni familia zetu ambazo zinaishi kwenye mitaa na vijiji kila kona ya Tanzania. Ili tustawi kama jamii mahitaji yetu muhimu yanahitaji kupatikana kwenye ngazi ya mitaa na vijiji tutokayo kabla ya popote pale!
Kwa kutambua hili, nakuhimiza Mtanzania mwenzangu ushiriki kikamilifu katika zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la Mkaazi ili uweze kuchagua viongozi wa serekali za mitaa, vijiji na vitongoji katika chaguzi zijazo.
Hii ni hatua ya kwanza na ya msingi katika kuhakikisha unashiriki katika maendeleo ya mtaa wako na Kijiji chako ila pia ni chaguzi ambazo zinatupa msingi wa demokrasia yetu.
Ushiriki wako ni muhimu sana
Thereโs two types of support that may look the same but donโt have the same intentions:
1. Those that see your potential and support you knowing how much it would mean for you.
2. โ Those that see your potential and support you knowing how much it would mean for them.
" Big winners at the VIP reception included Tanzania, which claimed double honours for 'Africa's Leading Destination' and
'Africa's Leading Tourist Board! Its iconic Serengeti National Park was named 'Africa's Leading National Park', with Mount Kilimanjaro taking the title of 'Africa's Leading Tourist Attraction" @WTravelAwards