```Hivi kwa mfano wewe ni mtu kama mimi unajikuta unampenda mtu afu uyo mtu nae hakutaki anampenda mtu mwingine yaan huyo mtu mwingine ni mtu kama wewe ila si unajua watu
Aaah mamae sijui nielezeje mnielewe```😬
Studio session at blackdot_tz With the professional producer @Jaydrama255#melanize#blackdotlife#music#worldstar
.
.
.
.
.
.
.
meshamazing gachib am__kiki ammy_wave prettygal_bertha prince_director… https://t.co/hVZdXQQPc3
HABARI NDUGU ZANGU!
NAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA MKAE MKAE MKAO WA KULA KWA KUSKIIZA MUZIKI MZURI KUTOKA KWA KIJANA WENU @lexandertz HIVI KARIBUNI NAACHIA WIMBO WANGU MPYA.......... AMBAO UPO CHINI YA @Jaydrama255… https://t.co/CeZtitZR4r
Hivi wale wadada mnaopenda ku post picha za mabashaa wenu fake wa kiarabu huwa mnawa download wapi?
Maana kero nataka kutengeneza colleges ya pamoja! #Tunakukera_Zaidi
Kama wanaweza kujifunza kuchukia, basi wanaweza kufundishwa kupenda, kwa sababu kwa kawaida ni asili yake upendo kuja kwa moyo wa mwanadamu kuliko kinyume chake
.''Kwa kutazama tu ulichonacho maishani ,kila siku utahisi unazaidi,ila kwa kutazama unachokosa maishani kamwe hutokuwa na zaidi''Oprah Winfrey(muongozaji wa maonyesho ya televisheni)
Mungu alikupa akili ili utambue jema na baya na akakupa amri zake ili uishi kwa amani na upendo. Kama Mungu hayupo mwanamume na mwanamke walitoka wapi?
Wazazi wako walitoka wapi?
Wazazi wao walitoka wapi?
Wazazi wao walitoka wapi
☯️#Yegata New song from @lexandertz@lexandertz stay close with my YouTube channel #lexandertz https://t.co/cGCtQQVpER
Contact +255762305797
Your favorite boy from southern… https://t.co/rLN68wFnqR
Happy birthday @doctor_fazi mwenyez mungu akujaalie maisha marefu sana mwanaharakati mhamasishaji mkarimu kipenzi cha sanaa ya mbeya mungu akutangulie ukawe kuzaliwa upya ukiwa updated juu ya muziki wa mbeya bro!
Happy birthday to you doctorfazi