Sauti ya Anfield itasikika kote duniani! Wapinzani wajue hakuna pa salama mbele ya jeshi jekundu!, Hasira ya uwanjani, umoja wa mashabiki! Leo tunapigania nembo, si pointi pekee.
#YNWA
ยฐKuelekea kituo cha Amani Foundation; Saa 5:10 asubuhi na kufika kituo cha Amani
ยฐKuanza safari ya kurudi Hekima Garden; Saa 7:00 mchana
HAPO HEKIMA GARDEN TUTATIZAMA WOTE MECHI YETU YA LIVERPOOL VS MANCHESTER UNITED
Letโs make them smile ๐๐
#LFCFamily#YNWA#OLSCTanzania
๐ฅ๐ด LIVERPOOL FAMILY ON A MISSION! โค๏ธโฝ๏ธ
Hii weekend tupo AMANI FOUNDATION {KIGAMBONI} kutembelea watoto yatima/wenye mahitaji maalumu ๐ซ
Tukileta furaha, zawadi, na moyo wa โYouโll Never Walk Aloneโ ๐ช๐ฝโค๏ธ
Kama ni mpenzi wa Liverpool, basi hii ni nafasi yako ya kuonyesha upendo
halisi ๐ฅ
Tupo pamoja kama familia moja ๐ด๐จโ๐ฉโ๐งโ๐ฆ
๐ Mahali: AMANI FOUNDATION {KIGAMBONI}
๐ Tarehe: 19/10/2025
๐ Dress code: Jezi ya Liverpool FC, Scarf, kofia ya Liverpool FC ๐ฉธ
ยฐKukutana {Hekima Gardens}
ยฐKuondoka Hekima Gardens kuelekea Kigamboni; Saa 4:30 asubuhi
BREAKING NEWS!
Rio Ngumoha amesaini mkataba wa miaka mitatu na Liverpool, hadi Juni 2028!
Kijana huyu mwenye vipaji amethibitishwa kama sehemu muhimu ya mradi wa muda mrefu wa Liverpool. Rio mwenyewe ana furaha kubwa kukaa Anfield na kujitolea kwa siku zijazo za klabu.