EVIL CORP: WADUKUZI WA URUSI WANAOZITESA NCHI ZA ULAYA NA MAREKANI.
Evil Corp ni mtandao wa wadukuzi wa Urusi unaongozwa na mastermind 'baby face' Maksim Yakubets.
Evil Corp ilivuma zaidi katika ya mwaka 2019 na 2020 hiki kipindi walifanya matata ya hali ya juu kwenye nchi za ulaya na Marekani wakizipitia benki, makampuni ya kisheria, taasisi za kidini na watu binafsi na kuchota kiasi cha zaidi ya dola milioni 100.
Maksim Yakubets yupo kwenye orodha ya "MOST WANTED" ya FBI dau likiwa ni $5 milioni, ikiwa ni yeye pamoja na washirika wenzie wa Evil Corp.
because when someone tells you "don't think about elephants for the next 5 minutes" your mind gonna be filled with herds of elephants for the next 5 minutes
Africans neglect the mental wellbeing of a child so much but some how those kids still end up mentally stable than white kids whose parents prioritize it. Why? π