Thanks for supporting me ππ»π€π.
You can follow me and streaming my songs on #SoundCloud.
just click the link below.π
https://t.co/5L3lQOquyj
[Ili uweze kusikiliza nyimbo zangu kwenye #SoundCloud]
BONYEZA HAPA π
https://t.co/5L3lQOquyj π«π.
Usitangaze shida na ukizipata usiache kulia.
Maana zipokutukuza akili kuwa jasiria.
That's why nikizipata sometimes nafurahia.
The only thing I wanna kuwa bora zaidi ya mimi wa jana.
Si shindani nao na shindana na Mimi wa jana.
#IwannaπΆπ«π
Hakuna wa kukupa laki, Kama hukukaza kuitafuta jero.
Wanangu bondeni in SAπΏπ¦ walijitupa kukaza bad luck ikawa in sero.
Still we pray for em.
W.T.F I can't quite in this game.πΆ.
#KAZAπΆπ«π
Walianza kwa kutuvimbia, kutuchukia, kutuomba hela za bia, kutuchukulia poa.
Ila baadae wakaanza kutufagilia, kutuaminia, kutusifia na msaada wetu kuuhitaji pia.
#Thisislife. πΆMkubwa Mungu tuπ
Kuna muda naona binadamu wamemzidi mpk shetani dhambi, dhambi kuu shetan alio nayo ni kumshawishi binadamu atende dhambi Kisha anaachana nae na kutafuta wengine. Ila uyo binadamu Sasa mmh.
Note: Bwana devil inabidi ujue sikutetei me nimesema tu.π₯΄
The only thing I wanna ni kuwa bora zaidi ya mimi wa jana.
Si shindani nao nashindana na Mimi wa jana.
Ndo maana kwenye ngoma zao hata wakinichana.
Link wakituma napokea pia na share kwa wana.#IwannaπΆπ΅π